starehe gharama.

،،Beauty lies in the hands of th beer holder،، Shakespeare
 
Kuna watu wanakunywa beer kama vile staili ya kujionyesha wana hela, Lakini nyumbani watoto hawana chakula!

Acha kuja beer wewe wa kuja, nenda kawanunulie watoto unga na madaftari ya shule!
 
JIRAN-Sasa rafiki nisaidie nimekwama kifedha,familia sina hela ya kuwalisha. Nipatie hela kidogo yaani nimebakiza elfu30 ya bia tu
duh pombe noma
 
Back
Top Bottom