starehe gharama.

Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
257
236
jaman,starehe zimezid kua juu kila kukicha,yaan cku iz ukiingia bar dk 2 tu ukiletewa bill fifty tayar imekatika,jaman tutaziacha hz bia jaman!
 
Suala la kuacha bia halipo, tunakomaa hvyo hvyo na daily bandika bandua, laki sipesa
 
fanya starehe kadri ya kipato chako kilivyo. matumizi yasizidi kipato
 
Jaman biere ni noma lol!na huu utaratibu wa kuaccess pesa iliyoko bank kwa mpesa cjui km hizo akiba zitasalimikaje!
 
jaman,starehe zimezid kua juu kila kukicha,yaan cku iz ukiingia bar dk 2 tu ukiletewa bill fifty tayar imekatika,jaman tutaziacha hz bia jaman!

Haya malalamiko si uyapeleke huko huko bar, kwani sisi ndio tunaokulipa mshahara au ndio tulikulazimisha ukapombeke.....alaaaah!
 
Beer,the cause and solution to all life،s problems-Homer J Simpson
 
jaman,starehe zimezid kua juu kila kukicha,yaan cku iz ukiingia bar dk 2 tu ukiletewa bill fifty tayar imekatika,jaman tutaziacha hz bia jaman!

uza nyumba tukaweke heshima bar... Nonstop, bata mpka mwsho
 
Za nafuu, ziko uwanja wa fisi, we unafikiri kutumia viyoyozi vya kwenye Pub za watu mchezo!, tenga kabisa hela ya nauli ya kukurudisha home mapema, la sivyo, utajuta!
jaman,starehe zimezid kua juu kila kukicha,yaan cku iz ukiingia bar dk 2 tu ukiletewa bill fifty tayar imekatika,jaman tutaziacha hz bia jaman!
 
Jamani beer ni viongeza matumbo na ni kinywaji cha waliokata tamaa ya maisha.

Mara moja kwa mwezi sawa lkn daily; ndio maana wanaume wengi na wadada wengi wanazeeka haraka!
 
Back
Top Bottom