Star TV Habari vs ITV Habari, Waandishi Toweni Tathimini

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
ImageUploadedByJamiiForums1442434203.373849.jpg cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Wote wamesema ukweli maana hata ITV kule hayo yote yalisemwa na Lissu alisema kabisa kuwa watarudi kufanya mkutano tena...maana mike spika zisingewezesha mkutano husika....
 
Ukweli ni kwamba mkutano haukafanyika kutokana na maandalizi hafifu hata ITV wametangaza hivyo na Lissu ndio aliongea na akaahidi watarudi kabla muda wa campaign haujaisha.
 
Star tv misses out the perspective and essence of what transpired. The overwhelming attendance and support for
Ukawa amazed was far boyond expectations. Ccm has to get worried.
 
Ni sawa star tv wameongea ukweli na itv pia lkn hawa star mara nyingi taarifa zao hazitofautiani na zile za Tbc1, mara nyingi huegemea upande mmoja, na hii ni kwasababu tbc1 niya taifa hivo ipo chini ya serikili na star tv mmiliki wake ni kada mkubwa wa ccm (mwenyekiti mkoa)
 
Hivi sasa kuna watu wanaangalia star TV???? Huko tunangalia futuhi na BBC saa 3 ucku mengine unawachia wao inayowahusu tutarejea huko baada ya uchaguzi
Kuisha
 
star tv ccmdamu awana jipya haooooooooooooooooooooooooooo hapa ss tunasema chadema ukawa ndo mwendo
 
Hivi sasa kuna watu wanaangalia star TV???? Huko tunangalia futuhi na BBC saa 3 ucku mengine unawachia wao inayowahusu tutarejea huko baada ya uchaguzi
Kuisha
Kweli kabisa Mkuu nilikuwa mtazamaji wa Star Tv lakini nimeacha siku nyingi sana na sitaiangalia tena hata baada ya uchaguzi na nitawamisi waandishi makini kama Dotto Bulendu ni jamaa makini sana nadhani Star Tv inamdhalilisha sana kipindi hiki maana imeonesha wazi ni chombo cha kifisadi na kijingajinga hivi
 
Diallo ni M/Kiti wa CCM Mwanza na Mmiliki wa Star TV ... Hawa Jamaa hawana tofauti na gazeti la Uhuru wa Mafisadi ...
 
Hiyo post ya Star TV inanikumbusha msemaji wa Iraq Mohammed Saeed al-Sahha kipindi cha Saddam Hussein wakati Wamarekani wameshavamia ardhi ya Iraq, yeye anasema wamewauwa vibaya wakati wakijaribu kuingia kwenye ardhi yao mpaka wamerudisha majeshi nyuma.
 
Kazi ipo mwaka huu, wananchi wanataka mabadiliko ccm inaweza maboresho
 
star tv ni tawi la propaganda la ccm leo wameshindwa kutoa habari ya mgombea wa urais kupitia ukawa edward lowassa
 
Hivi sasa kuna watu wanaangalia star TV???? Huko tunangalia futuhi na BBC saa 3 ucku mengine unawachia wao inayowahusu tutarejea huko baada ya uchaguzi
Kuisha

We kamamimi mkuu. Star tv siangalii kabisa sikuhizi zaidi yahiyo futuhi na bbc. Wamejimaliza wenyewe
 
Back
Top Bottom