Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,031
- 760
yaa inaonesha. jana ilikuwa inaonesha game hili.. athletico bilbao 2 - 1 man unitedHao Zuku wanaonyesha Manchester United?
yaa inaonesha. jana ilikuwa inaonesha game hili.. athletico bilbao 2 - 1 man unitedHao Zuku wanaonyesha Manchester United?
Jamani Member wenzangu wa Jamii Forums nina king'amuzi cha STAR TIMES nakiuza kwa bei nafuu sana, Nataka kubadilisha huduma na kuweka DSTV. Kwa member anaehitaji anitumie Private Message.
Kwa nini unaachana nacho??Jamani Member wenzangu wa Jamii Forums nina king'amuzi cha STAR TIMES nakiuza kwa bei nafuu sana, Nataka kubadilisha huduma na kuweka DSTV. Kwa member anaehitaji anitumie Private Message.
Lengo ni kuwa watu waachane na hayo madish, ishu ni kuwa hivi ving'amuzi vipatikane hadi huko vijijini. Suala la muhimu ni kuwa chanels zote za ndani zionekane.
startimes inaonesha tbc 1,tbc 2, channel ten, dtv, sibuka tv,clauds tv,itv hizi ndio nilizoziona kwa sasa
kifurushi cha uhuru unaona tbc 1,tbc 2 channel ten, dtv, sibuka tv,clauds tv
kile kifurushi kinachofwata baada ya uhuru ndio unapata na ITV
Kwahiyo Sisi watandale tulio nafedha za kudandadanda Itv tutaisikia tu!
Kama ndio hivyo tutaachana na haya mambo kabisa, maana gharama zake zimekuwa kubwa sana.mkuu ndio hivyo mfumo wa kibepari si rafiki hata kidogo wenye nacho hufaidi na kuendelea kufaidi na wasionacho wataendelea kukikosa. hata hivyo hizo gharama zinaonesha zitaendelea kupanda siku hadi siku.ndio dunia yetu ya sasa hiyo.
Kama ndio hivyo tutaachana na haya mambo kabisa, maana gharama zake zimekuwa kubwa sana.