kumekuwa kunatokea wizi mara nyingi, moshi kama 300 m imesepa na kusababisha meneja kufukuzwa na two other emloyees, mwanza pia wizi na mbeya, ila kubwa kuliko ni pale walipoanzisha usecured loans kariakoo, watu wakachukua mikopo hewa wakaiservice kidogo bank ikaona ina faida mpaka kufungua branch ya pili kariakoo, walipostuka 18 bill haipo, south africans wanataka kufanya overhaul ya bank, in march wamefanyia senior oficers wote iq test wajue je are they right for positions or ni favor, tutaona wengi watakuwa demoted na wengine tranfered.
Kweli imeyumba sana!
sIO LAZIMA KUONGELEA KITU USICHOKIJUA.......OTHERWISE UTAPOTOSHA JAMII.....