STAMP DUTY : nahoji

dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
255
WanaJf nahitaji kujua ni kwa nini Stamp duty zinazotumika Katika nchi hii zina jina TANGANYIKA na hii ni tangia enzi hizo?

Please sababu ni nini?
 
Stamps Mara nyingi huwa na maudhui ya kutunza kumbukumbu ikiendana na ukusanyaji wa pato
 
Back
Top Bottom