Stadium - Tanzania twanayoongoza kwa kiwango cha juu duniani

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
National Stadium ya Ghana kama old Nationa Stadium yetu ya zamani.

g2.jpg

VS New National Stadium yetu ya Tanzania

45fdd182c76c474197c80179130e08ef.jpg
images

Tulikotoka Uwanja wa Taifa wa wa zamani.

images
 
ghana wana viwanja vingi sana vizuri, usikalii mambo, kumbuka walisha andaa kombe la mataifa ya africa, wakati sisi tumekazania kuandaa CHALENGE NA KAGAME CUP
 
ghana wana viwanja vingi sana vizuri, usikalii mambo, kumbuka walisha andaa kombe la mataifa ya africa, wakati sisi tumekazania kuandaa CHALENGE NA KAGAME CUP

Kuwa na viwanja vingi haimaanishi kuwa na viwanja vya kiwango cha hali ya juu. Mbona hata sisi tunaviwanja vya kiwango kama chao kama CCM Kirumba, Arusha ambako michezo ya kimataifa inayotambuliwa na FIFA huchezwa?
 
Back
Top Bottom