St. John University kuna mgomo

BURTON JNR

Member
Jul 16, 2014
60
15
Waandishi wa habari na maafisa usalama wapo kufuatilia mgomo polisi unalinda nguvu ya umma.

Leo tarehe 19, Novemba 2014, wanafunzi wamegoma kuingia darasan kwa sababu zilizotajwa kuwa kikwazo kikubwa chuoni hapo kama: alama zake kuwa juu.

Wanafunzi kufelishwa maksud na kuombwa rushwa ya ngono kwa wasichana, upungufu wa viti, ubovu wa vyoo, ubadhirifu wa fedha za wanafunzi.

Walimu kutolipwa mishahara, kuonekana kwa majina ya walokufa zamani kwenye prospectus na kuingiliwa kwa serikali ya wanafunzi na uongozi wa chuo, W

Wanafunzi wote wameonekana kuzagaa uwanja wa mpira wa chuo hicho. Huku nyimbo za ROMA MKATORIKI NA NEY WA MITEGO zikilindima kwenye mitambo ya DJ MULLA.
 
kweli mgomo ulikuwepo ila umekwisha ni madai mbalimbali, CHUO KUWA NA WALIMU WASIO NA SIFE YAANI TA KUMILIKI SOMO, FEDHA ZA SERIKALI YA WANAFUNZI KULIWA, KUWEPO NA KOZI ZISIZO SAJILKIWA NACTE NA WIZARA YA AFYA, GRADE ZA UFAULU KUWA JUU PASIPO NA FACILITIES ZA KUTOSHA NA CHUO KUWA KM HAKINA MWENYEWE.
 
.....
1. GRADE ZA UFAULU KUWA JUU PASIPO NA FACILITIES ZA KUTOSHA......
2. CHUO KUWA KM HAKINA MWENYEWE.

nyie wanafunzi wa siku hizi ni shiiiiiiida!, eti chuo hakina mwenyewe, mlitaka mumjue mwenyewe ili mfanyeje? Daah
 
Leo tarehe 19, Novemba 2014, wanafunzi wamegoma kuingia darasan kwa sababu zilizotajwa kuwa kikwazo kikubwa chuoni hapo kama: alama zake kuwa juu.

Wanafunzi kufelishwa maksud na kuombwa rushwa ya ngono kwa wasichana, upungufu wa viti, ubovu wa vyoo, ubadhirifu wa fedha za wanafunzi.

Walimu kutolipwa mishahara, kuonekana kwa majina ya walokufa zamani kwenye prospectus na kuingiliwa kwa serikali ya wanafunzi na uongozi wa chuo, W

Wanafunzi wote wameonekana kuzagaa uwanja wa mpira wa chuo hicho. Huku nyimbo za ROMA MKATORIKI NA NEY WA MITEGO zikilindima kwenye mitambo ya DJ MULLA.
 
Kwa tatizo la TA,ni sawa kugoma ,chuo kimejaa TA utafikir sekondar!mtoto anamlea mtoto!
 
Kwan si mlikichagua wenyewe huku mkijua kabisa ni shule ya secondary Mazengo?Mara nyingi shule zote za secondary zna uhaba wa viti.Ongezen bidii mkifaulu mtajiunga na UDOM nawengine UDSM ambapo mtaishi kichuo kikuu zaidi.
 
Komaen,chuo hakina vit,vifaa vy kfundishia,halaf wamefurika TA,ambao hata GPAzao zina walakin au kama vp iwe sek.mazengo
 
Back
Top Bottom