St augustine university matokeo shida ?????

Endaku's

JF-Expert Member
May 25, 2007
321
47
Jamani naombeni msaada kuna wadogo zangu wanasumbuliwa matokeo yao pale Chuoni , wao wanasema waliambiwa wana Sup somo moja , wakafanya wakafaulu baada ya hapo wakataka kuchukua Academic Transcript zao , wanaambiwa sasa mbali na hiyo sup kuna semister ya nyuma kabisa mwingine somo moja mwingine mawili , sasa mimi niliposoma (UDSM) walikuwa wakiweka matokeo ndio hayo hayo na hakuna baadae kusema tulikosea bado somo mmoja au mawili bado hujaclear , this is very awkward .

I dont how to help these guys i need ur advice please !
 
Wapo hao watoto pole sn,yan hicho chuo ndio walivyo,unaweza ukawa na matokeo fresh tangu first year,lakini inapokuja kuchukua resurts za 3rd yr hapo ndo utashangaa.
Cha kuwashauri waambie wamkabe lecture wa somo husika ili wajue ilkuwaje,ukweli ni kwamba sipondi ila hicho chuo kina mambo ya kipuuzi,they need to change
 
Back
Top Bottom