Jaman yeyote mwenye taarifa kuhusu kaz ya acountant ssra walitangaza plz, if wameshaajir au?
Nafahamu kwa uhakika jamaa mmoja aliyeomba nafasi ya MIS officer(management information Systems officer) ameripoti kazini 1st Nov. 2011.
Bado kijana leo ndo wamepigiwa simu kwenda kufanyiwa interview j5 hii.
Kaka kuna msela wangu kaambiwa inter j5. MIS kumbe wameshaajiri sasa walitangazia nini kazi mbwiga hao....Upuuzi mtupo cjui kama tutafika.
mkuu mi mwenyewe ndo nimetoka katika interview ya senior compliance officer ya ssra hapo luther house azania front,ni upuuzi tuu ,tumefanya two categories yaani hr -nafasi 1 na seniour compliance officer-nafasi 1, ila watu tulikuwa zaidi ya sabini so unaniambia nini kuhusu hili.
kuhusu mishahara sina uhakika lakini nahisi inaweza kuwa mikubwa cause mamlaka nyingi zinalipa vizuri na nakumbuka kuna vijana nssf walihama wakaenda huko zilipotangazwa nafasi so naskia mishahara ni mizuri,lakini serikalini hatuangalii mishahara tunaangalia trips na semina ndo zinatutoa ni zaidi ya private ukimuona graduate analipwa 500,000 serikalini hapo ni pazuri mnoo manake sehemu nyengine serikalini unalipwa 300000 for graduate .
mkuu hiyo interview ni written au oral?
yaani leo interview ya post ya ACCOUNTANT WANATAKA WATU WAWILI(2) WANAOFANYA INTERVIEW 680
HII NI SCREENING YA NAMNA GANI BWANA??????????????????????????????????????????????????????????????
usimuachie mungu tu, endelea kutafuta kazi sehemu mbalimbali na pia kujitoleaasante mwaya kwa taarifa, kazi hizi jamani, namuachia Mungu tu anisaidie.