SSRA vp walishaajiri au?

cielo

Senior Member
Nov 2, 2011
130
13
Jaman yeyote mwenye taarifa kuhusu kaz ya acountant ssra walitangaza plz, if wameshaajir au?
 
Nafahamu kwa uhakika jamaa mmoja aliyeomba nafasi ya MIS officer(management information Systems officer) ameripoti kazini 1st Nov. 2011.
 
asante mwaya kwa taarifa, kazi hizi jamani, namuachia Mungu tu anisaidie.
 
Bado kijana leo ndo wamepigiwa simu kwenda kufanyiwa interview j5 hii.
 
Interview ni nwxt wiki mzazi,ila kwa anayejua jamaa malipo yao yanaendaje?I mean entry point yao ni kiasi gani cha mshahara??
 
wale jamaa dau lao dogo sana,pale wanaomiliki usafiri ni wachache sana most ni ma director...kuna chalii alinitonya graduate analipwa 565000 take home...pia nafasi nyingi zilizotangazwa zilikuwa tayari zina watu internal...legal officer alikuwepo na MIS officer alihitajika mmoja tu kutoka njee.
 
Kaka kuna msela wangu kaambiwa inter j5. MIS kumbe wameshaajiri sasa walitangazia nini kazi mbwiga hao....Upuuzi mtupo cjui kama tutafika.
 
Hapo ndugu kama unasali kanisa moja na Mkkurugenzi huyo mama ndio utapata kazi! Udini mtupu hapo? Hakuna kazi wala nini, magilini na kuwazuga watu tu..... Huyo mama ofisi ameifanya kama nyumbani kwake! Ajira kwa watu wake wa karibu tu!
 
mkuu mi mwenyewe ndo nimetoka katika interview ya senior compliance officer ya ssra hapo luther house azania front,ni upuuzi tuu ,tumefanya two categories yaani hr -nafasi 1 na seniour compliance officer-nafasi 1, ila watu tulikuwa zaidi ya sabini so unaniambia nini kuhusu hili.
kuhusu mishahara sina uhakika lakini nahisi inaweza kuwa mikubwa cause mamlaka nyingi zinalipa vizuri na nakumbuka kuna vijana nssf walihama wakaenda huko zilipotangazwa nafasi so naskia mishahara ni mizuri,lakini serikalini hatuangalii mishahara tunaangalia trips na semina ndo zinatutoa ni zaidi ya private ukimuona graduate analipwa 500,000 serikalini hapo ni pazuri mnoo manake sehemu nyengine serikalini unalipwa 300000 for graduate .
 
mkuu hiyo interview ni written au oral?
 
yaani leo interview ya post ya ACCOUNTANT WANATAKA WATU WAWILI(2) WANAOFANYA INTERVIEW 680
HII NI SCREENING YA NAMNA GANI BWANA??????????????????????????????????????????????????????????????
 
mi pia nilipigiwa simu j3 so mekuja nakuta watu kibao yn nilijua oral, lkn sio ishu inaweza kuwa yangu hyo.
 
we pita barabarani pga jicho ofisi zao utaona kuna watu wengi utadhani bank ya nmb kumbe watu wanasubiria kuingia interview
 
Habari zenu wana JF.
Tusipotezeane muda kujadili mambo yanajulikana mama Irene mkurugenzi mkuu wa SSRA UDINI MTUPU NA UMANGI MTUPU.
Nawashauri pia kutembelea ofisi zao maana sihitaji kuwapa data za uongo.
We ukifika shimboni pia tafuta maneno yako ya kichaga kazi kama kawa maana ndio waliojazana hapo.
 
Ukitaka ulagi anzisha kampuni ya kwako hata ya kufagia. utapata ulagi bila maneno. anaye taka tuanzishe kampuni ya usafi naomba anione. ILA UWE SMART SANA
 
Back
Top Bottom