SSRA na PPF nini kinaendelea? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu?

Radash

Member
Dec 12, 2012
41
16
Habarini za asubuhi mabibi na mabwana,

Hivi kuna nini kinaendelea kati ya PPF na SSRA? Ni hivi nilikuwa mwajiriwa katika taasisi flani ya binafsi hapa mjini. Nimefanya kwa miaka 5 huku nikiwa mwanachama wa PPF, baada ya mkataba kwisha nikaamua niachane na ajira niwe mjasiriamali.

Nikaamua ngoja nifatilie mafao yangu PPF ili kuongeza kamtaji kangu, PPF wakasema hawatoi kitu na hiyo ni order kutoka SSRA nikasema msinitanie nikaenda hadi ofisi za SSRA kuwauliza kulikoni wakasema ni kweli PPF walikuwa hawatoi mafao lakini wiki iliyopita waliwaita na kuwambia walipe watu mafao. Sasa narudi PPF makao makuu wanasema hawana taarifa yoyote ya kulipa kutoka SSRA na hawalipi kitu.

Sasa najiuliza nani mkweli kati ya SSRA NA PPF? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu? Magufuli tupia jicho SSRA na PPF wanakuhujumu hawa watu bado hawajakuelewa kabisa.

Ahsante.
 
Siku hizi utapeli unafanyika kwa njia nyingi sana mkuu.
Ila kipind wanakufuata au kuwafuata wanakukaribisha kwa tabasamu la kondoo ila ukiwa mwanachama tu wanakugeuka.
Hapo mkuu watakuambia mpaka ufikishe miaka 55 ndio wakupe.
Hiyo mifuko sijui PPF, PSPF ni hatari bora hata uweke kibubu angalau
 
Habarini za asubuhi mabibi na mabwana,

Hivi kuna nini kinaendelea kati ya PPF na SSRA? Ni hivi nilikuwa mwajiriwa katika taasisi flani ya binafsi hapa mjini. Nimefanya kwa miaka 5 huku nikiwa mwanachama wa PPF, baada ya mkataba kwisha nikaamua niachane na ajira niwe mjasiriamali.

Nikaamua ngoja nifatilie mafao yangu PPF ili kuongeza kamtaji kangu, PPF wakasema hawatoi kitu na hiyo ni order kutoka SSRA nikasema msinitanie nikaenda hadi ofisi za SSRA kuwauliza kulikoni wakasema ni kweli PPF walikuwa hawatoi mafao lakini wiki iliyopita waliwaita na kuwambia walipe watu mafao. Sasa narudi PPF makao makuu wanasema hawana taarifa yoyote ya kulipa kutoka SSRA na hawalipi kitu.

Sasa najiuliza nani mkweli kati ya SSRA NA PPF? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu? Magufuli tupia jicho SSRA na PPF wanakuhujumu hawa watu bado hawajakuelewa kabisa.

Ahsante.
USHAHIDI WA MADOMO; AU WALIKUPA DOCUMENT YA KURUHUSU MALIPO UWAPELEKEE PPF.
 
Daah.. Mkuu tupo wengi. Kwanini wengine kama NSSF wanalipa wao hawalipi? Hawana pesa?
 
Matatizo ya Watanzania hawawezi kuona mbali zaidi ya urefu wa pua zao!

Unalalamikia SSRA na PPF?! that is myopia.

SSRA na PPF wako pale kutekeleza na kusimamia sheria za nchi na sio kuzivunja. Tatizo ni Wabunge waliopitisha hiyo SHERIA ya kuondoa mafao ya kujitoa hadi ufikishe miaka 60.

Utazungushwa sana kama pia kwasababu hata wewe HUJITAMBUI, kalaghabaho!
 
NSSF wanalipa. Why not PPF? Inamaana SSRA inabagua mifuko?
 
Habarini za asubuhi mabibi na mabwana,

Hivi kuna nini kinaendelea kati ya PPF na SSRA? Ni hivi nilikuwa mwajiriwa katika taasisi flani ya binafsi hapa mjini. Nimefanya kwa miaka 5 huku nikiwa mwanachama wa PPF, baada ya mkataba kwisha nikaamua niachane na ajira niwe mjasiriamali.

Nikaamua ngoja nifatilie mafao yangu PPF ili kuongeza kamtaji kangu, PPF wakasema hawatoi kitu na hiyo ni order kutoka SSRA nikasema msinitanie nikaenda hadi ofisi za SSRA kuwauliza kulikoni wakasema ni kweli PPF walikuwa hawatoi mafao lakini wiki iliyopita waliwaita na kuwambia walipe watu mafao. Sasa narudi PPF makao makuu wanasema hawana taarifa yoyote ya kulipa kutoka SSRA na hawalipi kitu.

Sasa najiuliza nani mkweli kati ya SSRA NA PPF? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu? Magufuli tupia jicho SSRA na PPF wanakuhujumu hawa watu bado hawajakuelewa kabisa.

Ahsante.
Hili ni jamnga la watu wengi sana litalipuka soon na huu usawa wa watu kufukuzwa kazi sijui.Mbona nssf wanatoa iweje hao jamani haya kimya kingi....
 
Umenifungua masikio, maana hata hapa kwetu uvumi umeenea kuwa fao la kujitoa limefutwa hadi miaka 60, nilikuwa sijui kama SSRA ndio Baba yao PPF na NSSF ngoja nami niende.
 
Wanafanya mambo ya kipuuuuuz sana.
Wengine tunasomesha na kutegemewa sasa ukisitisha bila Kumpa kazimbadala unataka nini?

We ngoja. Ipo siku tutajitoa akili
 
Habarini za asubuhi mabibi na mabwana,

Hivi kuna nini kinaendelea kati ya PPF na SSRA? Ni hivi nilikuwa mwajiriwa katika taasisi flani ya binafsi hapa mjini. Nimefanya kwa miaka 5 huku nikiwa mwanachama wa PPF, baada ya mkataba kwisha nikaamua niachane na ajira niwe mjasiriamali.

Nikaamua ngoja nifatilie mafao yangu PPF ili kuongeza kamtaji kangu, PPF wakasema hawatoi kitu na hiyo ni order kutoka SSRA nikasema msinitanie nikaenda hadi ofisi za SSRA kuwauliza kulikoni wakasema ni kweli PPF walikuwa hawatoi mafao lakini wiki iliyopita waliwaita na kuwambia walipe watu mafao. Sasa narudi PPF makao makuu wanasema hawana taarifa yoyote ya kulipa kutoka SSRA na hawalipi kitu.

Sasa najiuliza nani mkweli kati ya SSRA NA PPF? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu? Magufuli tupia jicho SSRA na PPF wanakuhujumu hawa watu bado hawajakuelewa kabisa.

Ahsante.

Serikali ilikopa kwenye mifuko sasa haina pesa za kuwalipa wanachama, ili kupunguza presure, serikali imeamua kuiambia mifuko izuie fao la kujitoa. hapo ni kesi ya tumbili kwenda kwa nyani.
 
Matatizo ya Watanzania hawawezi kuona mbali zaidi ya urefu wa pua zao!

Unalalamikia SSRA na PPF?! that is myopia.

SSRA na PPF wako pale kutekeleza na kusimamia sheria za nchi na sio kuzivunja. Tatizo ni Wabunge waliopitisha hiyo SHERIA ya kuondoa mafao ya kujitoa hadi ufikishe miaka 60.

Utazungushwa sana kama pia kwasababu hata wewe HUJITAMBUI, kalaghabaho!

Mswada ulijadliwa lini? mswada ulipitishwa nyuma ya pazia, eti ulijadiliwa kwenye kamati za bunge huko Dsm. Tatizo serikali iliyopita ilikuwa ikishindwa kulipa mishahara ilikua inatoa maagizo, PFF toa bilioni kadhaa, PPF wanatoa, sasa huyo mkurugenzi wa mfuko akamdai Rais wakati nditye alimteua hajipendi? kwa hiyo inabidi wakae tu kimya, baada ya kuzidiwa sasa sehemu rahisi kutua huo mzigo ni kwa mwanachama. kwingine kote kuna traffic jam.
 
halafu wao ppf mafao yao ya kustaafu ni noma! ni wezi hawa jamaa hawana maaana! bora hata majambazi hakya wallah!
 
Habarini za asubuhi mabibi na mabwana,

Hivi kuna nini kinaendelea kati ya PPF na SSRA? Ni hivi nilikuwa mwajiriwa katika taasisi flani ya binafsi hapa mjini. Nimefanya kwa miaka 5 huku nikiwa mwanachama wa PPF, baada ya mkataba kwisha nikaamua niachane na ajira niwe mjasiriamali.

Nikaamua ngoja nifatilie mafao yangu PPF ili kuongeza kamtaji kangu, PPF wakasema hawatoi kitu na hiyo ni order kutoka SSRA nikasema msinitanie nikaenda hadi ofisi za SSRA kuwauliza kulikoni wakasema ni kweli PPF walikuwa hawatoi mafao lakini wiki iliyopita waliwaita na kuwambia walipe watu mafao. Sasa narudi PPF makao makuu wanasema hawana taarifa yoyote ya kulipa kutoka SSRA na hawalipi kitu.

Sasa najiuliza nani mkweli kati ya SSRA NA PPF? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu? Magufuli tupia jicho SSRA na PPF wanakuhujumu hawa watu bado hawajakuelewa kabisa.

Ahsante.
kumbe tupo wengi mimi nilienda pale ppf Morocco kiukweli naumwa maana faili zote za muhimbil ninazo maana BP inanisumbua na nilishafanya x rey natakiwa nifanye CT scan na ela sina sasa nawaeleza pale wananiambia hata kama ningelikua nimezidiwa hawawezi kunipa mafao yangu mpaka nifikishe miaka 55 daa nilichoka sana na mawazo niliyokua nayo nikawa kwenye bus narudi kimara nikakuta nimepoteza Ile bahasha yenye vyeti vya hospital barua ya termination pia kile kikadi cha ppf members ata siijui nianzie wapi tena maana nimechanganyikiwa kweli
 
Pole mkuu. Termination unaweza kwenda kuchukua tena. Kadi ya PPF peleka tu Loss Report watakutengenezea.
 
Back
Top Bottom