wanandugu nimesikia kuna hii kitu inaitwa spyware for mobile phones i.e. is software that you install on a cell phone that will give you access to that cell phones data including reading text messages.
jamani anayefahamu vizuri naomba atueleweshe vipi, inafanyaje kazi na inaweza kuwa installed kivipi na kama inapatikana free on the internet!!
(najua ni breach of privacy lakini ni vema mtu kujihadhari ili usije ukakumbana na kitu cha namna hii).. i know information is power
thanks