Spss data analysis inafundishwa ucc-mbezi beach branch

raia tz

Member
Nov 21, 2011
89
16
Wakuu course ya data analysis imeanza kufundishwa ucc mbezi beach branch tar 27 feb jana.
1.course ni wiki tano(5)
2.jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku
3.mahali ni ucc mbezi beach branch
4.ada ni 290000/=
5.no other aded qualifications only your course fee

mimi ni mwanafunzi nasoma hiyo course so natoa taarifa kwa atakaye kuwa tayari call 0712853939 huyo ni course coordinator
 
Hiyo ada ni kubwa sana hii sasa ni business oriented na sio service oriented na hata business yenyewe ni accumulation of super profit. watoto wa akulima watajikwamua kweli?
 
Angalieni msijekuwa mnawafunidha watu data coding na entry tu. Kama ni hivo na ada ni hiyo huo utakuwa wizi wa mchana
 
Yaani spss tu mnafundishana wiki 5? Kha! Hapo mmeambiwa mtapewa package bure wakati una-download bure mtandaoni!
 
Back
Top Bottom