Sponsorship ya Masters PublicAdministration Mzumbe

Stv Mkn

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
328
273
Wadau,naomba anaeweza kunisaidia kupata mtu/shirika/tahasisi itakayonisaidia malipo ya masomo yangu nayotegemea kuanza mwezi october mwaka huu....nimepata admission ya Mzumbe Dsm campus (MPA)lakini kifedha nimekwama kabisa na ninaitaji sana kusoma ili nitimize ndoto zangu..

Tuwasiliane kwa PM au ata hapahapa jamvini...

Thanks!
 
Do! Mzumbe wametoa mkuu walokuwaselected kwa masters? Wametoa lini! Hongera kwa hatua hiyo kwanza hilo la scholarship jingine na kama unania utapata mkuu!
 
Ni lini wametoa majina ya waliokuwa selected?binafsi pamoja na jamaa zangu kadhaa tunasubiri selected list!hatujapigiwa simu bado "can it be concluded that we are out of the list"?
 
kwenye website ya mzumbe wameweka selected list ya main campus pekee,please kama kuna mtu anajua ni lini list ya campus ya dar itatolewa atufahamishe tafadhari.
 
kama uliweka box namba kwenye application zako,basi kachek uhenda wamekutumia kwa barua kama wengine.
 
kwani iyo mpa ni bei gan? alaf fuata zile linki zilizotolewa hapo juu na mwana jf ok
 
Wadau,naomba anaeweza kunisaidia kupata mtu/shirika/tahasisi itakayonisaidia malipo ya masomo yangu nayotegemea kuanza mwezi october mwaka huu....nimepata admission ya Mzumbe Dsm campus (MPA)lakini kifedha nimekwama kabisa na ninaitaji sana kusoma ili nitimize ndoto zangu..

Tuwasiliane kwa PM au ata hapahapa jamvini...

Thanks!

Mkuu jaribu Belgium. Mimi nimesoma MPA hapo Mzumbe miaka miwili iliyopita na nilifadhiliwa na Belgium. Hata hivyo katika kipindi changu wao walikuwa wakifadhili wafanyakazi wa serikali na wale wa NGO tu. Kwa hiyo jaribu!
 
katalina asante sana kwa iyo info..nitajalibu mkuu wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom