Spika makinda hatimae aumbuka,ajikosha

Wakuu, naomba niwakumbushe kimoja! Kilichotokea kimeonyesha kwamba CCM hawana ajenda ya kisiasa ndo maana hawana hoja zakitaifa! Angalia vijana waliopandikizwa humu, fikra finyu hawana hata uwezo wa kujenga hoja! Ninaishia kuwacheka tu coz akili kmsngi hamna! Viva ChaDema!
 
Hata tuliokuwa mbali tulishangilia maana ni nondo juu ya nondo, akm ameng'ang'ana na wakuu wa wilaya machozi yanataka kumtoka eti wabunge wamuunge mkono sijui anatafuta pa kushika.
 
Mkuu kweli maskini akipata hujisifia. Mapendekezo yaliyochukuliwa ni asilimia 5 tu ya yote, rais bado ana madaraka makubwa na katika ikiisha bunge la katiba analiteua yeye, hapo huoni hay a marekebisho ni kiini macho? Tafakari kabla ya kuandika

Hiyo nayo ni hatua muhimu na sio ya kubeza .Mapinduzi huwa hayaji siku moja....ni hatua kwa hatua...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom