Spika makinda hatimae aumbuka,ajikosha

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nafuatilia bunge,baada ya Kamanda Lissu kumaliza hotuba ya kambi rasmi juu ya marekebisho ya rasimu ya katiba bi mkubwa akasimama akasema 'huo ndo ukweli wenyewe na hao ndo wakweli tuwaunge mkono' kwa hili laonekana hawa jamaa wa magamba wameshinikizwa kuujadili hawana jinsi,namsubiria tena leo Mama Kilango aliyeshadadia mwaka jana na kuiponda chadema je atasemaje.CDM 4EVA
 
Hakuna kamwe kitakachozidi nguvu ya umma, Kamanda lema alipokuwa kwenye kampendi zake alikuwa akisema wao (CCM) wana pesa sisi (CDM) wana mungu, hoja za CDM zina reflect needs za kitaifa na sio za kichama
 
haha haaa!tehetehe tehe!!kwi kwi kwi kwiiii!mbavu zangu mie!wakati anasema hayo maneno usoni alikuwaje?maana sipati picha mtu mzima alivyojishaua mpaka sauti kutoka,
 
haha haaa!tehetehe tehe!!kwi kwi kwi kwiiii!mbavu zangu mie!wakati anasema hayo maneno usoni alikuwaje?maana sipati picha mtu mzima alivyojishaua mpaka sauti kutoka,
mama alikuwa kama kamwagiwa maji,c unajua tishio la mkulu kuwa atavunja bunge endapo..
 
Eti kikaongezea tuche ushabiki wa kichama tuweke masilahi ya nchi kweli sisimu hawana hata mshipa wa aibu mara hii wamesahau walivyo itukana CHADEMA bungeni mpka tukawa tunapewa maana na Tundi sijui kipemba mana yake nini, leo wamenywea kama piliton...Nguvu ya umma nomaaa
 
Sasa nimeamini kweli wabunge wa magamba walipigwa mkwara na mkulu aisee.
 
Eti kikaongezea tuche ushabiki wa kichama tuweke masilahi ya nchi kweli sisimu hawana hata mshipa wa aibu mara hii wamesahau walivyo itukana CHADEMA bungeni mpka tukawa tunapewa maana na Tundi sijui kipemba mana yake nini, leo wamenywea kama piliton...Nguvu ya umma nomaaa

Mkuu kweli maskini akipata hujisifia. Mapendekezo yaliyochukuliwa ni asilimia 5 tu ya yote, rais bado ana madaraka makubwa na katika ikiisha bunge la katiba analiteua yeye, hapo huoni hay a marekebisho ni kiini macho? Tafakari kabla ya kuandika
 
here we go! one step ahead.

siku zote ukweli husimama na mpaka 2015 lazima liwashuke.
 
Yaani hao Magamba sijui sura zao watazificha wapi sasa? Hasa Mama Anna Kilango na wapuuzi wengine na yeye Mama Makinda cjui ana lipi jipya. Dah tumechoka na gossip zao...Walikuwa wanaelezwa hawakusikia sasa aibu imewajaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom