Pasco madai ya wana CDM ni mengi, si hilo la muswada tuu!!!!!Ndio maana yake, tatizo ninaloliona mimi, kwenye Chadema, kuna wanachama, wafuasi, mashabiki na manazi wa Chadema, hivyo hata baada ya serikali kukubali matokeo na kuuondoa, manazi wa Chadema bado watashinikiza wanataka maandamano yao yawe pale pale!.
Kwanza jamii ya Watanzania wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa wakati kuna mafisadi wanakula na kusaza na watoto wao wanasoma Ulaya. Afya za watu ni taabu saana, hakuna madawa na dispensary hakuna kamazipo ziko mbali na wananchi. Shule hivi tunavyo andika ni taabu tupu hakuna walimu, watoto bado wanakaa chini, labaratory hakuna. Mwaka huu tunategemea failier kibao tena. Mfumo wa uchumi ni ovyo, bei za vitu zinazidi kupaajuu!!!!!! Mfisadi bado wanatawala njia kuu za uchumi, RA anadai hizo Shs 94,000,000,000/= ninety four billion kulipwa na TANESCO!!!!!!!
Madai ya CDM bado ni mengi saana, katiba tuachiwe wananchi tuamue ni katiba gani iliyo bora kwa taifa letu, tusipangiwe na mafisadi SISIEMU!!!!!!! Pasco nadhani bila shaka kama ni mzalendo wa TZ umenielewa vizuri, ufikiri kwa kichwa sio miguu uweze kukomboa taifa lako, wewe ni kijana.