Spika Makinda, athibitisha 'Muswada Umeondolewa'

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,494
113,590
Wanabodi,

Ile sintofahamu ya Muswada imemalizika,
Wenye access watch TBC Live Now!.

Spika ametangaza Kamati ya Sheria na Katiba imeomba marekebisho kadhaa ikiwemo kuletwa kwa lugha ya Kiswahili, na kutangazwa kwenye magazeti ili iwafikie Watanzania wengi.

Wabunge wapiga vigelegele kwa kuimba CCM..CCM...as if ni CCM ndio wameshinikiza mabadiliko hayo.

Spika ameomba Watanzania tudumishe mila za kujadili kwa utulivu na amani

Kuondolewa kwa Muswada huu, ni uthibitisho mwingine kwa JF iko juu kwenye kupata breaking news za jikoni, na JF ni very reliable source of information.

Viva JF.

Pasco.
 
Thanx god,thanx wadau wote,thanx chadema kwa kujitolea kuelimisha kuhusu muswada huu,slaa aliwai sema dola wametunyima but mabadiliko tutayaoona,thanx tunayaoona na tutaendelea kuyaona,hii ndio tanzania na watanzania tunaowahitaji
 
Maandamano ya CHADEMA yamezimwa kwa mantiki hiyo
Ndio maana yake, tatizo ninaloliona mimi, kwenye Chadema, kuna wanachama, wafuasi, mashabiki na manazi wa Chadema, hivyo hata baada ya serikali kukubali matokeo na kuuondoa, manazi wa Chadema bado watashinikiza wanataka maandamano yao yawe pale pale!.
 
Ni ushindi kwa watanzania wote. Ndiyo umuhimu wa kua na upinzani wa kweli. Hongera CDM kwan saut zenu zimeckika.
 
Achana na JF kaka,ni kiboko yao thats why wana ihara na kutaka kuitokomeza,lakini kamwe will never happen,Jf daima popote ilipo,tulianza na kujadili Mzee mkama na sasa mswada na yapo mengi ya ukweli yamewezwa kuwekwa wazi ndani ya JF

Tuzidi kupambana mpaka kieleweke
Nawapa kubwa na tano wabunge wa CDM kwa kusimamia ukweli na haki ya kikatiba ya watanzania
kwani walitaka kutukimbiza kama mang'ombe,mimi nadhani wasingekuwepo CDM HILI JAMBO LINGEPITA BILA KUPINGWA
safiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mh. JK na serikali yake hawawezi jaribu kuruhusu maandamano ya mikoa 10 nchini juu ya hoja ambayo ni kweli.

What if watu wanaandamana, kisha wanakataa kurudi majumbani wakidai serikali iondoke madarakani? Mh. JK kasoma alama za nyakati mapema.........labda lije jingine.

CDM wanataka kupandia katika hoja ya Muswada tata?

Serikali iko VERY ALERT na yanayotokea duniani.

Ukweli, CDM mpo juuuu and keep it up!!! Hongereni ZENU.
 
Mashenzi haya yalidhani yangetuburuza kuhusu jambo hili linaloshika uhai na maisha yetu katika nchi? ****** hana sifa ya kubadili katiba asijipandishe chati alikurupuka na mwisho kaishiwa hoja. CDM maandamano kama kawaida kesho hata kama tumeshawapiga bao.
 
Ni ushindi kwa watanzania wote. Ndiyo umuhimu wa kua na upinzani wa kweli. Hongera CDM kwan saut zenu zimeckika.
Edson Z. M, ni kweli huu ni ushindi kwa Watanzania wote na ndio umuhimu wa kuwa na upinzani wa kweli, ila pia upinzani wa kweli bila umoja wa wapinzani is nothing, kweli hili la huu muswada, vyama vyote vya upinzani vimepaza kauli moja, 'uondolewe' na serikali imepiga magoti, imeuondoa. Kama tangu uchaguzi wa 2010, vyama vyote vingekubaliana CCM iondoke, CCM, ingeondoka!.

Kwa vile 2015 sio mbali, opposition wasipokubali kusimama pamoja dhidi ya nyoka mwenye gamba jipya, 2015, hadith itakuwa ile ile!.

Pasco.
 
CDM nao watoe tamko kuwa kwa kuwa kile walichotaka kukipata kwa maandamano kimepatikana, basi maandamano hayo yamefutwa. Hata hivyo bado waendelee na mikutaqno ya hadhara kuelimisha umma kwa nini katiba mpya inahitajika.
 
Wanabodi,

Ile sintofahamu ya Muswada imemalizika,
Wenye access watch TBC Live Now!.

Spika ametangaza Kamati ya Sheria na Katiba imeomba marekebisho kadhaa ikiwemo kuletwa kwa lugha ya Kiswahili, na kutangazwa kwenye magazeti ili iwafikie Watanzania wengi.

Wabunge wapiga vigelegele kwa kuimba CCM..CCM...as if ni CCM ndio wameshinikiza mabadiliko hayo.

Spika ameomba Watanzania tudumishe mila za kujadili kwa utulivu na amani

Kuondolewa kwa Muswada huu, ni uthibitisho mwingine kwa JF iko juu kwenye kupata breaking news za jikoni, na JF ni very reliable source of information.

Viva JF.

Pasco.

wabunge wenye elimu ya darasa la saba unategemea watafanya nini? of course that is what they know.
 
Wanabodi,

Ile sintofahamu ya Muswada imemalizika,
Wenye access watch TBC Live Now!.

Spika ametangaza Kamati ya Sheria na Katiba imeomba marekebisho kadhaa ikiwemo kuletwa kwa lugha ya Kiswahili, na kutangazwa kwenye magazeti ili iwafikie Watanzania wengi.

Wabunge wapiga vigelegele kwa kuimba CCM..CCM...as if ni CCM ndio wameshinikiza mabadiliko hayo.

Spika ameomba Watanzania tudumishe mila za kujadili kwa utulivu na amani

Kuondolewa kwa Muswada huu, ni uthibitisho mwingine kwa JF iko juu kwenye kupata breaking news za jikoni, na JF ni very reliable source of information.

Viva JF.

Pasco.

Hawa Wabunge wa CCM wanahitaji kujivua magamba!
 
Maandamano ya CHADEMA yamezimwa kwa mantiki hiyo

kama kweli hayatakuwapo hayo maandamano, basi ninaanza kuwa na wasiwasi ccm na chadema kuna kitu wana-collude nyuma ya pazia.

maana sijasahau msemo wa wahenge: "siasa mchezo mchafu"
 
kama kweli hayatakuwapo hayo maandamano, basi ninaanza kuwa na wasiwasi ccm na chadema kuna kitu wana-collude nyuma ya pazia.

maana sijasahau msemo wa wahenge: "siasa mchezo mchafu"
The Prophet, hebe naomba utufafanulie, una maanisha nini ili tujue, wewe una fall kwenye kundi gani kati ya haya hapa chini.

Back
Top Bottom