Spika Anna Makinda kila kukicha safari

May 9, 2012
59
15
Naona huyu atakuwa spika anayesafiri kuliko wote Africa

Sijawahi kuskia anafanya open workshop ya mambo ya uraia Rufiji au Ukerewe yeye kila kukicha yuko ulaya na nchi zilizoendelea

naona safari siku hizi ndio zimekuwa style ya kazi Tanzania. Kila kukicha wanasiasa wako kwenye airport lounges.

Lakini cha ajabu hakutuambiwi faida ya hizi safari

na cha ajabu hakuna mwanasiasa hata mmoja nayelalamika kuwa safari zimezidi.
 
safari za nje mara kwa mara ni sera iliyoasisiwa tanzania na mtu anaitwa vasco da gama. kwa hiyo waache kama walivyo. wanatekeleza sera ya bosi wao, vasco da gama, the traveller.
 
Akiulizwa ataimba ile chorus nimenaalikwa etc.! Na kila safari ya nje ya nchi ya afisa wa juu kama huyo mwanamke lazima ipate idhini ya Bw JK.
 
halafu humwoni akifanya mikutano mashuleni au warsha ndani ya nchi kuwapa wananchi ju ya somo la uraia na mengineyo ya kazi yake

kwani lazima aende yeye?
 
Lakini cha ajabu hakutuambiwi faida ya hizi safari
Hilo ni tatizo la ubovu wa press yetu, hawawaulizi hawa watu hiyo safari mheshimiwa ulienda kufanya nini? Kwa nini ilikua lazima uende na bajeti yake imetoka fungu gani? Wanakuwekea tu picha mtu yuko kwenye park ya mabembea ya watoto Jamaica anabembea na mkewe! Au wanakuandika viongozi hao walizungumzia kuimarisha mahusiano baina ya nchi hizo mbili. No specifics.

Baada ya ufisadi kuwa kilio kikubwa cha wananchi miaka ya karibuni na mambo ya posho za vikao kutolewa macho sana, viongozi wamebuni njia mpya za kujiongezea vipato ambazo Watanzania bado hawajaamka kuzidodosa na kuzipinga kwa dhati, safari za nje.[/SIZE][/FONT]
 
Swali la msingi lingekuwa kama taifa tunanufaikaje na hizi safari? Afadhali hata jk huwa anasema nilienda kuomba net, wakati gharama ya kumpeleka yeye na kundi lake ingetosha kumnunulia net kila mtanzania na kuku anaofuga nyumbani kwake
 
Unauliza Spika kusafiri? Nasikia Katibu mwenezi wa CCM Nape anakwenda USA, Siasa za marekani na Tz ni kama East na West, wanaccm wanaoishi USA, hawana uwakilishi wowote katika Uchaguzi mkuu.
1)Je Nape anakwenda Marekani kufanya nini na nani anaghalamia safari hiyo?
2)Kulikuwa na umuhimu gani kwa JK kwenda Canada, wakati Membe na Muhongo ndio waliosaini mikataba?
3)Chalma Kikwete yupo USA almost week mbili pamoja na Membe pamoja na Ujumbe wao kabla hawajaenda Canada, bilioni ngapi zimeteketea kuwahudumia?
4)Wafanyakazi hawalipwi mishahara lakini Bi Mkora kutwa yupo angani, kwani Bongo hakuna wanamume?
 
Jamani si mnajua kuwa huyu bi kiroboto yuko singo... Inawezekana anaenda kufanyiwa 'massage'... Na kula pipi ya kijiti...
 
Jamaa wameona kukwapua BOT wameshtukiwa na sasa wanatuibia kwa style ya safari ambayo huwezi kuhoji mahakamani. Lakini ifike mahali watuambie wamepata nini huko walikoenda.
 
safari za nje mara kwa mara ni sera iliyoasisiwa tanzania na mtu anaitwa vasco da gama. kwa hiyo waache kama walivyo. wanatekeleza sera ya bosi wao, vasco da gama, the traveller.

will as many as of this opinion say aye. Will as many as of contrary opinion say nay. The aye s have it, put the matter to rest.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni tatizo sana kuongozwa na viongozi ambao wote wanajua wanaondoka/kustaafu madaraka 2015: Wakati huu kwao ni mavuno tu!b Nadhani JK hamkamati Anne Makinda kwa safari. Hivi ni lazima kila safari yeye Naibu si yupo; Mbona Kenya wana-utaratibu mzuri sana? Utaona mara nyingi mfano Rais anawakilishwa na Waziri Mkuu Raila, au Makamu wa Rais Musyoka, au Mh. Mudavati au, Mh. Uhuru Kenyata, haitokei kuona kiongozi mmoja muda wote anabadilisha ndege na safari nje ya nchi... Poor Tanzania.
 
Wote hao wachumia tumbo wanajiandaa kustaafu na jasho letu likiwa pomoni,inasikitisha sana wanazurula tu safari hazina tija hata kidogo kwa mtu yule wa kijijini hasa kuhusu demokrasia ya Bunge na kuwabana wapinzani kwenye hoja za msingi bungeni!!kosa ni kumuweka fisadi mwenzao!!
 
naamini katika kila familia yale apendayo baba ndio hufanywa na wanafamilia.vivyo hivyo kwa serikali inayoongozwa na dhaifu the traveller sishangai kuona viongozi wengine wa ngazi za juu wakihudhuria hata birthday za mahouse girl wa viongoz wa ulaya.
 
we hujui hizo safari hugaramiwa na bunge, tena zina posho ndefu kweli kweli!
Bi kiroboto nae!
 
mwachen bikiroboto ale bata, usichana wake hakuwah kufika hata kenya huu ndo wakati wake
 
Back
Top Bottom