seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Hawa Makarani wa Sensa vigezo gani vilitumika kuwapata, Unawezaje kutumia saa moja na nusu kwenye Familia ya watu watatu Baba, Mama na mtoto wa chekechea
Nilimuuliza Karani aliyepita kwangu maswali yafuatayo baada ya kuona amechukua muda mrefu kwa jirani zangu ambao tunaishi kama rafiki na zaidi ya ndugu hivyo tunapeana taarifa muhimu na za msingi zinazotuhusu kuanzia magari ya kukusanya taka, Vikao vya mtaa na malipo ya vijana wa ulinzi shirikishi
Swali number 1
Je mlifanya trial au majaribio ya speed ya kutumia I Pad kabla hamjaenda live Leo?
Karani wa Sensa hakuwa na jibu
Swali number2
Je mlipita kwenye hii mitaa kufanya trial hata kuangalia family zimekaa vipi na mtatumia muda gani wa wastani kila nyumba
Karani wa Sensa hakua na jibu
Swali number 3
Je hizo I Pad mmewekewa bundle au zina GPS kukusaidia kujua location?
Karani wa Sensa alinijibu kuwa IPad zao zina GPS inafanya kazi vizuri
Je hawa ndio Graduate wa sasa toka vyuo vikuu au tusubiri Wengine?
Karani wa Sensa ni muoga, anatetemeka, hana Confidence kabisa,
Moja ya lengo kuu la sisi wazazi kupeleka vijana shule ni kuwajengea uwezo wa kujiamini na kupambana na mazingira yanayobadilika kila wakati
Wananchi wameitikia vizuri zoezi la Sensa ukifananisha na mwaka 2012. Zoezi la mwaka huo 2022 limerudishwa nyuma na Makarani wa Sensa kutokana na spidi yao ya kuuliza na kutumia I Pad
Ni Kheri wale wahazabe walioamua kudai nyama na matunda kabla ya kuhesabiwa, At least wahazabe wao wamekula nyama ya nyati na Punda kabla ya zoezi, Wengine wamemsubiri Karani masaa kibao bila faida