Spidi ile JK wanamkimbizia wapi..!?

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Wakuu salamu,
Muda huu umenipita msafara wa JK hapa maeneo ya Tabata dampo. Msafara ulikuwa na magari zaidi ya 30 na difenda za Presidential Protective Unit kama 8 hivi. Wamepita kwa spidi kali pengine kuliko kawaida ya spidi ya Presidential motorcade jambo ambalo limewashangaza wengi hapa.
Gari hizo zimetokea maeneo ya Ubungo na zimeelekea Tazara/Airport.

Kwa wale wenye taarifa mtujuze;
1. Bwana mkubwa anaelekea wapi?
2. Kwa nini msafara ukimbie kwa spidi ile? (spidi ilikuwa si chini ya 160kph).
3. Kwa nini leo amebadili njia na kutumia njia ya Mwenge-Ubungo-Tazara-Airport? (Njia ambayo huwa anatumia mara nyingi akiwa anaenda Airport ni Nyerere Road, leo mbona amezunguka hivi....kulikoni?

Wenye taarifa tafadhali.
 
Masharti toka Mlingotini Mjomba.
 
Fanya utafiti vizuri ujue alikuwa kiongozi gani , JK yko Moshi anapanda mlima kilimanjaro.
 
JK yuko Kilimanjaro wewe uliyemuona ni JK gani? Usitupige changa la macho bhana!
 
Bado yuko milima Kilimanjaro anashuka kesho bila shaka ni kiongozi mwingine aliyeonekana huko Tabata.
 
JMK anaweka rekodi nyingine tena kwa kuupanda Mlima Kilimanjaro akiwa Rais.

Jomba ile kitu si mchezo.
 
jk yupo dar. kwa taarifa yako wakati anaenda kakanyada dimbwi la maji but alivyo rudi akakuta maji yameshanyonywa yote na magari ya jiji na lile shimo limeshafukiwa. ni heri kwa watu wa dar es salaam bora aendelee kuzunguka ili barabara zirekebishwe. naomba aende hadi salasala, ununio, kimbiji hadi nzasa charambe mbagala tuangoma.
 
apande mlima kilimanjaro?miguu yenyewe haina nguvu ya kuhimili kusimama itakuwa kupanda mlima !!! hebu nipisheni hapa....

kupanda japo nusu tu kwa umri wa kikwete usiseme kitu hapa ni nusu kifo. hakika kama hujapanda milima huo nyamaza hapa unachafua hali ya hewa.

Inahitajika afya bora japo tu kufika nusu ya mlima kilimanjaro
 
Kuna mgomo wa madaktari kuanzia kesho mkweree lazima atakuwa amesepa; hataki taabu yeye kazi yake mashori tu na ndio yaliyompeleka Moshi!!!!
 
kutoka malangu getini Kupanda hadi kileleni huchukua siku tatu kwa hiyo kupanda nusu mlima ni siku moja na nusu.

kushuka ni siku mbili kutoka kileleni hadi malangu getini hivyo kushuka nusu milima ni siku moja.

Rais atatumia siku tatu maximam na minimum siku mbili na nusu.
 
Kuna mgomo wa madaktari kuanzia kesho mkweree lazima atakuwa amesepa; hataki taabu yeye kazi yake mashori tu na ndio yaliyompeleka Moshi!!!!

suala la kupanda mlima kilimanjaro lilikuwa kwenye ratiba siku nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom