Wakuu naombeni somo, kati ya processor na RAM kipi kina determine speed ya computer?
Wakuu naombeni somo, kati ya processor na RAM kipi kina determine speed ya computer?
Speed ya Computer kwa mtu ambaye hajui Mambo ya IT ni ile responce ya Computer kutoka pale mtu alipoamuru Application au Script fulani irun mpaka pale anapopata Majibu ( Yaani application imefunguka na kutoa Majibu). Na hiyo inategemea mambo kadhaa lakini ya Msingi ni
1. Size ya RAM ( kumbuka RAM Haipimwi kwa Speed bali size in KB or Mb unaweza kuwa 256Kb, 512Kb, 1GB RAM) Kazi ya RAM ni kuhifadhi zile programme zinazorun kwa wakati huo.
2. Proccessor kazi yake kufanya Shughuli zote zinahosu komputer na Hiyo inapimwa Kwa Speed
3. Aina ya Computer kama ni 32bits au 64 bits
All in All hata ukiwa na Proccessor ya Infinity Speed kama una limited RAM computer yako itakuwa Slow tu
Kwa matumizi ya Kawaida ya Ofisini Zingatia sana size ya RAM