kama ni hivyo sina shaka
maana nilikua namuwazia russia kua peke yake.
hivi kule mashariki ya mbali tofauti na china pamoja na north korea kuna nchi gani nyingine wanaiunga mkono russia
Mkuu sio nchi zote zinaweza kua na ujasiri wa kuiunga mkono Urusi moja Kwa moja au hadharani kutokana na vitisho vya uncle Sam.
Kumbuka hata kwa hao wajumbe wa NATO wapo wanaokerwa na Marekani,na Kuna wengine wanatamani hata Leo umoja wa NATO uvunjike ijapokua ni wanachama wa NATO.
Miongoni mwao ni ufaransa na ujeremani,Hawa wanatamani kua na umoja wa kijeshi wa ulaya usiokua na Marekani.walijaribu hata kuunda na kuuita European Army.
Vivyo hivyo kwa nchi za Far East,zipo nchi hazivutiwi na tabia za Marekani lakini ujasiri wa kuipinga Marekani hadharani ndio hawana.lakini utakuta wanashirikiana vizuri TU na Urusi.
Nchi za Far East ni nyingi TU zilizokua na milengo ya Ki Maxist na ambazo zamani zilikua himaya ya Urusi.
Hizi haziwezi kuipinga Marekani hadharani kwa sababu ya fitina za USA.
Hata hivyo baadhi TU ya nchi chance za Far East amabazo hazina tatizo na Urusi ni Vietnam, Indonesia na Myanmar.
 
Hii SMO imeisaidia sana Urusi aisee.
Mambo mengi yameiendea vizuri.

Russia now world’s fourth largest agricultural exporter – Putin

The country has been stepping up shipments abroad thanks to bumper harvests, according to the Russian president
Russia now world’s fourth largest agricultural exporter – Putin

Russia is now one of the major agricultural exporters in the world, President Vladimir Putin has said while meeting with Russian farmers.

On Tuesday, the president arrived in Stavropol Region, southern Russia, where he met with the employees of the Solnechny Dar greenhouse complex of the Eco-Culture agro-industrial holding.

“We have become the fourth country in the world in terms of exporting agricultural products, and the first in the world in terms of [exporting] wheat,” Putin said, noting that revenue from such exports on the global market amounted to $43.5 billion. Russia is also one of the leaders in terms of meat production, he added.

According to Putin, this is the first time in the country’s history that the agricultural sector has achieved such results. At the same time, the president noticed the need to boost production of tomatoes and some other types of products, so as not to depend on imports.
 
Hero of Russia soldier hits US-made Abrams, making it third such tank to be destroyed

NOVOSIBIRSK, March 5.
Russian soldier from the Novosibirsk-based special forces brigade has struck another US-made Abrams tank, bringing the total number of destroyed US tanks to three.

"His commander wrote to me," said Panfyorov, who is a member of the Novosibirsk Region legislature. "There was a strike on an Abrams."

"It was a precise strike. The distance to the target was about 6 kilometers. The strike was at night," the lawmaker went on to say.

"He is a Hero of Russia and he continues to beat the enemy. There is probably as many as two enemy companies that he has destroyed," he continued.

The soldier destroyed as many enemy vehicles.
 
Ufaransa naona wamepania Sasa kuhakikisha Urusi haishindi vita hii,je wamewahi au wamechelewa.
Ukraine inasaidiwa sana ila sema haisaidiki.

Sukhoi Su-27 fighter escorts two Rafale aircraft and flying radar over Black Sea
Foreign aircraft fly over Black Sea region to collect strategic information for Ukraine
06.03.2024

A Russian Su-27 fighter was scrambled to escort a group of French Air Force aircraft over the area of the Black Sea, the Russian Ministry of Defenсe said.

Foreign aircraft fly over Black Sea region to collect strategic information for Ukraine

"The crew of the Russian fighter identified the air targets as an E-3F long-range radar detection and control aircraft (AWACS) and two Rafale C multi-role fighters of the French Air Force. As the Russian fighter approached, the foreign military aircraft turned away from the State border of the Russian Federation and left the airspace above the waters of the Black Sea,” the department said.

The flight took place in strict accordance with international rules for the use of airspace. The Russian fighter did not make a dangerous approach to the foreign aircraft.

Since the beginning of the special military operation in Ukraine, the number of flights of Western combat and reconnaissance aircraft over the Black Sea has increased. On February 22, a British reconnaissance aircraft RC-135 Rivet Joint was spotted near Crimea. The plane was escorted by two Eurofighter Typhoon fighters.

A US Navy aircraft was spotted near Crimea in late January when the Ukrainian military attacked the peninsula. The American plane was flying over the Black Sea coast of Romania, about 250 kilometres from the western part of Crimea. Its track began in Sicily near Sigonella US Naval Air Station.

It is believed that Western aircraft try to collect strategic information and transfer it to Kyiv for further attack
 
Sababu zipo, nyingi lakini hizi ni chache;

Mpaka sasa Ukraine amepewa msaada wa dola za kimarekani Bilioni 74 ambazo ni zaidi ya Trilioni 150 za kitanzania, ambazo zilitumika kununua silaha za kisasa kabisa kutoka NATO. Msaada huo wa kijeshi haujazaa matunda yoyote baada ya Counter-Offensive ya Ukraine kugeuka kuwa Meat-Grinder na kusababisha hasara kubwa mno kwa vikosi vya Ukraine. Inadaiwa kwamba wanajeshi zaidi ya laki tatu wa Ukraine wamefariki tokea mwaka 2022. Mtu yoyote anayefikiri vizuri hili lazima limuogopeshe.

Mbali na hapo, Prof John Mearsheimer anasema moja ya sababu kubwa ya Ukraine kufanya vizuri siku za mwanzo ni kutokana na msaada mkubwa kutoka vikosi vya kijeshi vya NATO na mashirika ya Ujasusi ya THE FIVE EYES OF INTELLIGENCE. Imezidi kufahamika kwamba SAS, NAVY SEALS, CIA, MI6 na BND wanafanya kazi na vikosi vya Ukraine kwa karibu, kwa kutoa mafunzo na kuongoza oparesheni zake. Mkuu wa Ujasusi wa Ukraine, Kirill Budanov amepata mafunzo ya CIA tokea mwaka 2014. Kinachoshangaza, mbali na msuli mkubwa wa NATO na G7, bado mpaka kufika sasa hawajaizuia Urusi kusonga mbele, japo kwa taratibu sana.

Vikwazo zaidi ya 15000 vya G7, EU na NATO kwa nchi moja, ambayo uchumi wake ni asilimia 4% tu ya uchumi wa dunia (Global GDP), vimegeuka kuwa baraka kwa Urusi. Jana nilikuwa namsoma mchumi nguli, Prof James K. Galbraith wa taasisi ya NEW ECONOMIC THINKING ambapo aliandika chapisho lake linalosema "The Gift of Sanctions: An Analysis of Assessments of the Russian Economy 2022-2023", ambapo anaandika kwamba vikwazo vimeubeba sana uchumi wa Urusi kuliko kuumiza. Akataja sababu kwamba vikwazo vimeifanya Urusi iwe nchi ya kujitegemea (An Autarky) ambapo Warusi wamenufaika na biashara za mashirika ya Magharibi yalioondoka tangu vita ianze.

Mwaka 2013, takwimu za IMF na WB zilisema kwamba uchumi wa Urusi (GDP) ungeanguka kwa asilimia 12% ndani ya muda mfupi, lakini baadaye wakabadilisha takwimu na kusema umeanguka kwa asilimia 3% tu kutokana na vikwazo. Upande mwingine wametoa takwimu nyingine za makadirio ambazo zinasema uchumi wa Urusi unafanya vizuri na utakuwa kwa asilimia 3.5% ndani ya mwaka 2024. Huku ikifahamika kwamba uchumi wa Urusi unachuana na wa Ujerumani kwenye Purchasing Power Parity (PPP).

Mtu akifuatilia haya ni lazima ufahamu kwamba Ukraine is a lost cause.​
Afya ya akiri hakika.
Nimeshiba haswaa!
 
Europe nzima imechanganyikiwa baada ya kuona Russia inazidi kusonga mbele. Macron anashawishi NATO wajiingize mazima.. sijui watakubali?
Komredi hiyo ni ngumu!
Nimesoma kombora SATAN 2 LINA VICHWA 16. LIKIPIGA JIMBO LA CARIFONIA, INAFUTWA, AMA LIKIPIGA BURUNDI NA RWANDA ZINAFUTIKA, AU UFARANSA HAKUNA KINACHOBAKIA, PIA NI UNDITECTABLE, KASI 26,000KM KWA LISAA. SASA PUTIN KATAMBULISHA 4, HILO MOJAWAPO.
HAKUNA SHOGA WALA TEJA ATADHUBUTU KUJIUZA UKRAINE.
 
Unauliza kuhusu Ukraine? NATO wanampango wa kuingia rasmi baada ya kuona Ukraine inazidi kuteketeza wanajeshi Plus vikwazo vyao vyote ya uchumi, mabilioni ya dola kama mkopo / aid kwenda Ukraine, silaha, planning, intelligence ku fail

Ku avoid hii aibu ya efforts za nchi takribani 30 kushindwa na nchi wanampango wa kuingia Russia ku save face.

Putin alishasema, ni aidha kuna Russia huru au hakuna Russia kabisa, mkubwa utaelewa ana maanisha nini.
Kweli
 
Kuna watu hawaelewi, Ukraine ishapigwa, kushindwa vita kunajulikana mapema
Hitler na majeshi yake walijua kabisa miaka 2 kabla kuwa tayari washashindwa

Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wanauliwa kila siku, issue sio tena silaha, issue ni man power, hakuna watu wa kufanya tena offensive Ukraine

Hawa "Collective west" hawawezi kubali hii aibu, so wapo tayari kuchoma dunia nzima kibiriti kwa kuanzisha WW3

Mda huo huo, viongozi wa Africa sijui kama wamejiandaa vipi na hii issue in case dunia inaingia vitani

Nyakati kama hizi, hakuna Laws wala Orders, tusishangae kuona wazungu tena wanakuja
Nina hamu kuwapangisha Wazungu kwa bei kubwa hili wafidie Mali walizotupora.
 
Leo wahuni wamemuonyesha zelensky ya kwamba wana uwezo wa kumfanyia umafia dakika yeyote watakayohitaji.
============

BREAKING: Russia hits the position where Zelensky held a ceremony and awarded medals to special forces soldiers in Odessa.

A very interesting strike! Literally a few tens of minutes before, Zelensky was rewarding Ukrainian special forces officers in there, in the Odessa port. This location was hit with an Iskander missile.

It was known for certain that Zelensky had already left by that time, but the awarded special forces officers were still there.

 
Zelensky says he was in the port of Odessa and saw the impact, there are 200 and 300, and the Russians are just angry.

“We saw this strike today. You see who we are dealing with, they don’t care where to hit.

I know that there were casualties today, I don’t know all the details yet, but I know that there are dead and wounded.”
 
Zakharova said: Whether someone likes it or not - the future of Crimea is forever with Russia
1709743362723.png
 
Back
Top Bottom