lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,252
- 34,027
Mkuu sio nchi zote zinaweza kua na ujasiri wa kuiunga mkono Urusi moja Kwa moja au hadharani kutokana na vitisho vya uncle Sam.kama ni hivyo sina shaka
maana nilikua namuwazia russia kua peke yake.
hivi kule mashariki ya mbali tofauti na china pamoja na north korea kuna nchi gani nyingine wanaiunga mkono russia
Kumbuka hata kwa hao wajumbe wa NATO wapo wanaokerwa na Marekani,na Kuna wengine wanatamani hata Leo umoja wa NATO uvunjike ijapokua ni wanachama wa NATO.
Miongoni mwao ni ufaransa na ujeremani,Hawa wanatamani kua na umoja wa kijeshi wa ulaya usiokua na Marekani.walijaribu hata kuunda na kuuita European Army.
Vivyo hivyo kwa nchi za Far East,zipo nchi hazivutiwi na tabia za Marekani lakini ujasiri wa kuipinga Marekani hadharani ndio hawana.lakini utakuta wanashirikiana vizuri TU na Urusi.
Nchi za Far East ni nyingi TU zilizokua na milengo ya Ki Maxist na ambazo zamani zilikua himaya ya Urusi.
Hizi haziwezi kuipinga Marekani hadharani kwa sababu ya fitina za USA.
Hata hivyo baadhi TU ya nchi chance za Far East amabazo hazina tatizo na Urusi ni Vietnam, Indonesia na Myanmar.