njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,737
- 3,900
Jamani msipige kelele Kipanya anahesabu waliochinjwa jana atuletee hesabu hapa
AsanteeeeeeJenerali Zaluzhny wa Ukreni aliandika makala kwenye jarida la Economist ambamo anachambua sababu za kushindwa kwa mashambulizi-pinzani ya jeshi la Ukreni.
Ni kana kwamba Ukreni imepewa nyenzo zote za taarifa na uchambuzi wa Marekani na NATO, idadi kubwa mno ya silaha na risasi, “wakufunzi” wa Magharibi kote katika mstari wa mbele vitani, na bado huo mstari wa mbele umesimama kabisa. Zaluzhny alifikia hitimisho kwamba walihitaji “silaha kubwa” fulani ili waishinde Urusi. Kweli, kuna silaha kama hizo, hizi ni silaha za nyuklia na mabwana zako wa Marekani wanazo, Jenerali Zaluzhny.
Lakini wanahitaji kufikiria sana ikiwa inafaa kuitumia dhidi ya Urusi na jinsi makabiliano hayo yatakavyoisha. Mwisho wako, jenerali, hauko katika vita. Na wala huu sio mwisho wako hata kidogo, jenerali, kwa hiyo tulia. Magharibi yote ndiyo iliyoko katika mwisho huu mbaya. Ili kujaribu kudumisha utawala wake juu ya ulimwengu, Magharibi ndiyo huanzisha vita hivi, lakini haiwezi kuvishinda. Ulimwengu mwingine utachukua nafasi ya ulimwengu wenye sifa mbaya wa “sheria” za Magharibi. Watu wamechoshwa na udikteta wa Magharibi na uporaji wa Magharibi katika nchi zao. Ulichagua upande mbaya, Jenerali. Vuka uende upande wa Urusi.
Zaluzhny:
“Ukweli ni kwamba tunaona kila kitu afanyacho adui, nao huona kila kitu tufanyacho sisi. Ili tuweze kutoka katika mzozo huu, tunahitaji kitu kipya, kama baruti, ambayo Wachina walivumbua na ambayo bado tunaitumia kuuana. Hatari kubwa ya vita vya msuguano kwenye mahandaki ni kwamba vinaweza kujivuta kwa miaka mingi na kulidhoofisha taifa la Ukreni. Tunahitaji kutafuta ufumbuzi, tunahitaji kuipata baruti hii, tuimudu haraka na kuitumia ili kufanikisha ushindi upesi. Kwa sababu mwishowe tutagundua kwamba hatuna kabisa watu wa kutosha wa kupigana vita.”
KudadeqBREAKING: The Wall Street Journal reports that the US has intelligence that Russia's Wagner Group could send the SA-22 air defense system to Hezbollah.
Mchawi lughaVladimir Putin's statements at a meeting with members of the Public Chamber of Russia. Key points:
The Ukrainian state was created only under Soviet rule, including from the lands of southern Russia;
Ukraine has been exterminating Russians in Donbass to "the applause" of the West;
Russia could not but rise to the defence of the people, first in Crimea, then in Donbass and Novorossiya;
Ukraine is selling weapons to the Middle East, including to the Taliban;
Corruption in Ukraine is almost legalised, the West will not be able to fight it;
The U.S. has planned a change of elites in Ukraine because of corruption problems;
The West used to want to "defeat Russia on the battlefield", but now they are talking differently.
Mwamba bado upoupo tu,unasubiri kujengewa Mnara nini!?Hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2802828
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Si muda mrefu Zelensky atakufa kifo kama cha yule Mwamba wa Wagner... baada ya hapo anaingia kiongozi mwengine kwa maelekezo na US namna kuweka pause ya vita kupitia mikataba na US ndio atakuwa Mlinzi wa Ukraine... Security Gurantee..Mwisho wa kunukuuView attachment 2803119
Wangemwacha tu aendelee kushuhudia ulaghai na utapeli wa Magharibi.Si muda mrefu Zelensky atakufa kifo kama cha yule Mwamba wa Wagner... baada ya hapo anaingia kiongozi mwengine kwa maelekezo na US namna kuweka pause ya vita kupitia mikataba na US ndio atakuwa Mlinzi wa Ukraine... Security Gurantee..
Mwisho wa kunukuuView attachment 2803119
Zele alikuwa tayari kufanya makubaliano ya kusitisha vita mwaka jana, aliyepinga ni sleepy joe.Aliambiwa afanye amani na Russia ili aepushe kumwaga damu, akasema yuko tayari kuikomboa nchi yake yote kwa njia ya vita.
Anayemlipa mpiga zumar ndie anaechagua wimboZele alikuwa tayari kufanya makubaliano ya kusitisha vita mwaka jana, aliyepinga ni sleepy joe.
Pole sana mkuu, warusi wanaendelea kulambishwa mchanga kila uchao..,hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱🥱Ukimuuliza kp kipanya44 kama counteroffensive imefeli au imefanikiwa, yeye anakwambia amewachinja wachache kidogo kama 800 hivi.
Wangemwacha tu aendelee kushuhudia ulaghai na utapeli wa Magharibi.
Aliambiwa afanye amani na Russia ili aepushe kumwaga damu, akasema yuko tayari kuikomboa nchi yake yote kwa njia ya vita.
What it looks like to get used and dumped by the west. Zelensky kiIIed hundreds of thousands of young men just to please the west but got nothing in return. Ukraine is finished.Pole sana mkuu, warusi wanaendelea kulambishwa mchanga kila uchao..,hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2803446
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Amekuwa Tarqi Azizi 'Chemical Ali' wa jf upande wa Ukraine.Jamani msipige kelele Kipanya anahesabu waliochinjwa jana atuletee hesabu hapa