BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,785
- 17,549
kp kipanya44 na wa Ukrain wenzie wa Nyaluyeye wilayani Msalala siku za karibuni wamegeuka wapost vichekesho, kazi rasmi aliyopaswa kufanya braza Zelensky
Ukirusha jiwe gizan kisha ukasikia ukelele bas ujue limepata shabahakp kipanya44 na wa Ukrain wenzie wa Nyaluyeye wilayani Msalala siku za karibuni wamegeuka wapost vichekesho, kazi rasmi aliyopaswa kufanya braza Zelensky
Nadhani wengi wanapendelea Urusi japo kuna wachache wana simamia utaifa wao.Okey mkuu, ina maana raia ni loyal kwa nchi ipi?
Kama upo sahihi basi kuna tatizo.Nadhani wengi wanapendelea Urusi japo kuna wachache wana simamia utaifa wao.
Hata ungekuwa wewe unapewa ushauri na veterans namna hii mtandaoni Telegram lazima utoroke kama unawezaMpaka wa Urusi kwenda Finland leo mchana:
View attachment 2365793
Kumbe foleni tena, kwa nini wengi wanataka kutoka?
Labda wito wa Putin waje kutetea utawala wake na kichaa chake?
Shukrani sana kiongozi natumai wengi tumekuelewa.Odesa ni mji wenye bandari na waweza kuufananisha na mji wetu tukufu wa Dar-es-Salaam.
Pale pana mambo mawili muhimu.
1. Russia ameweka vifaa vyake pale kuhakikisha bidhaa zote zinosafirishwa kutoka pale ni bidhaa zinosemwa , na pia kuhakikisha meli zote zinoingia bandarini Odesa zakaguliwa na Russia baada ya kukaguliwa na Uturuki kule zianziapo safari.
2. Odesa ndo yalikuwepo makazi ya manowari za kivita za Ukraine na pana viwanda vya usindikaji vyakula, visima vya mafuta na uchakataji ( kama TIPPER cha Kigamboni) na viwanda vingine mbalimbali na kadhalika.
Mwezi April Russia walishambulia Odesa kwa makombora na kuharibu miundombinu yote ya kijeshi ya Ukraine na hii ni sehemu muhimu sana (kijeshi) kwa Ukraine na kama ingeendelea kuwepo basi Russia kule Bahari Nyeusi kwenye meli zake za kivita zote zingeangamizwa na makombora ya HIMARS ambayo yangeletwa Ukraine na kuingizwa Odesa kupitia pale bandarini.
Hiyo ndo sababu kwanini Russia bado aangazia Odesa kwa jicho la tatu.
Halafu, Odesa ni mji kamili sana na umekaa uzuri kijiografia na umejaa wayahudi na makabila yote yake maskini maskini kama waalbania, wagiriki, waromania na waamernia.
Inashangaza sana kuona mazombi wa Putin wakishangilia referendum kana kwamba hiyo itasimamisha mashambulizi,Unadhani Ukraine atasimama kushambulia?
Karibu sana mkuu.Shukrani sana kiongozi natumai wengi tumekuelewa.
Vita ndo vita chacha zaidi maana bado kuna baadhi aridhi ambayo inadibitiwa na Ukraine kwenye hayo majimbo.Unadhani Ukraine atasimama kushambulia?
Nadhani ukabila ndio tatizo.Kama upo sahihi basi kuna tatizo.
Pesa ipo hayo majimbo yakikamilisha mchakato wa kura ya maoni, basi ujenzi waanza upya na kufanana na Moscow.Vile kichwa cha fashisti Putin kinawazaView attachment 2365945
Wale wajinga wanazungumza kulia wanatenda kushoto, lau wangekuwa waumini wa upande flani ningewauliza ile kauli najua sio ngeni kwako...Umenikumbusha Zelensky anajifanya anaihimiza dunia anaipa kama somo: Baada ya Putin kutoa speech yake rais Zelensky anaiambia US ili iiokoe dunia kabla ya Russia kufanya maamuzi ya kutumia mabomu nuclear nchini Ukraine US imuwahi Russia na ilipue sehemu zote ambapo silaha za nuclear zilimohifadhiwa nchini Russia.
Hii ndiyo akili ya Zelensky na mbinu zake za kurubuni watu. Habari zake ni za kati kwa kati ya kwamba wao ni hawana hatia na Russia ana lengo la kufuta democracy, freedom ambayo ndiyo imetahamalaki duniani na Russia kufanya hivyo ni kupambana na dunia hivyo aadabishwe kwa uzito mbali na vikwazo vya uchumi dhidi yake ambavyo kwa sasa vinawagharimu wao.
Kwa misingi hiyo Tucker mwandishi habari wa Fox News anasema: "So a corrupt Eastern European authoritarian leader in a t-shirt is lecturing us".
Tucker anahoji; Bw. Zelensky anajitoa ufahamu kuwa Urusi ni Taifa linaloongoza kwa idadi ya kuwa na silaha nyingi za nuclear hivyo athari nawe zitakupata vyema tu na kwa wingi. Mbali na hilo kwa nini US ifanye hivyo kisa Ukraine wakati njia nyingi za kusuluhisha hili zipo wazi?!
Kwa maoni ya Tucker ni kwamba viongozi wa UK,US na Bw. Zelensky ni vichaa kwa sababu China ambayo inarekodi ya kuwa na uvunjifu mwingi wa uvunjaji wa haki za binadamu kwenye baraza la UN imezungumza huu mtanange usulihishwe kwa amani kwa pande zote mbili hali ya kuwa Biden na makuhani zake wanachochea moto wa matumizi ya silaha ya nuclearhali ya kuwa huu upande unajinasibu kuwa ni upande unaojal usalama na haki za watu duniani. Kama ripoti za haki za watu duniani znamtambua China kama mvunjaji wa haki za watu anaona hatari ya hili wewe unayechochea moto kisha unajiona mwema kama si kichaa wewe ni nani?
Ndivyo Tucker alivyolihoji kwa kuhabarisha umma.
Inashangaza sana kuona mazombi wa Putin wakishangilia referendum kana kwamba hiyo itasimamisha mashambulizi,
Russia imeitambua Crimea kuwa sehemu yake tangu mwaka 2014, lakini hiyo haikusaidia kuzuia mashambulizi huko sembuse hii referendum ya kubumba