Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

mimi nna rav4 kili time NO.B imekufa injini 2AZ. cna pesa ya kununua anaetaka nimuuzie kwa bei ndogo sana...gari ni manual gear..5gear.. ipo dodoma..ipo poa sana ilIKUJA NA ZERO KM
 
Vile vile kuna grills za magari tofauti tofauti pamoja na shock absorbers za gari za japan, ford, vw na M/benz
Jamaa. Natafuta bampa la mbele la Toyota Passo Racy. Shingapi vile naweza kulipata?
 
Hapana hiyo sina ndugu yangu lakini naweza kukutafutia.
Zipo half cuts za pajero GGI, Rav4, suzuki ( grand vitara na escudo) kwa anayehitaji
Vile vile kuna grills za magari tofauti tofauti pamoja na shock absorbers za gari za japan, ford, vw na M/benz
shock up za benz c 240 (2001) mbele na nyuma complete zote 4 bei gani
 
Back
Top Bottom