Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 4,982
- 4,494
Habari wanabodi.!
Nimetengeneza thread hii mahususi kwa wale wote wanaopenda kufuatilia thread zangu humu Jamii Intelligence na kujifunza mambo ya kiroho au powers ili waweze kupata urahisi wa kufungua na kusoma mengi na yanayoendelea kutoka kwa Rakims na baadhi ya thread kama hizi wenye nazo wakiridhia basi watazi link hapa:
THREAD 1: Mwanzo wa meditation
katika thread hii chini hapo nimeelezea jinsi mtu anaweza kuanza meditation taratibu hadi pale atakapofikia level ya juu na mafanikio na athari anazoweza kuzipata mtu wakati na baada ya kufanya meditation thread hiyo haijaisha na itakuwa updated
THREAD 2: Jinsi ya kutoka nje ya mwili
Katika thread hii chini nimeeleza jinsi gani mtu anaweza kutoka nje ya mwili wake na kufanya survey katika ulimwengu wa kiroho ambayo ni moja kati ya state kubwa kabisa za mafanikio ya meditation
THREAD ZINGINEZO:
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
THREAD
kama una swali ambalo ni personal na upo nje ya forum:
Wasiliana nami kupitia email hii:
Rakimsspiritual@gmail.com
au namba hii ya mtu aliye karibu nami
+255783930601
Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:
Rakims
Nimetengeneza thread hii mahususi kwa wale wote wanaopenda kufuatilia thread zangu humu Jamii Intelligence na kujifunza mambo ya kiroho au powers ili waweze kupata urahisi wa kufungua na kusoma mengi na yanayoendelea kutoka kwa Rakims na baadhi ya thread kama hizi wenye nazo wakiridhia basi watazi link hapa:
THREAD 1: Mwanzo wa meditation
katika thread hii chini hapo nimeelezea jinsi mtu anaweza kuanza meditation taratibu hadi pale atakapofikia level ya juu na mafanikio na athari anazoweza kuzipata mtu wakati na baada ya kufanya meditation thread hiyo haijaisha na itakuwa updated
Mwanzo wa meditation
JINSI YA KUFANYA MEDITATION Meditation Ya Pumzi: MEDITATION: Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena. ¡¤ Wengine wanaielezea tahajudi kwamba, ni sala za usiku wa manane. FAIDA ZA MEDITATION: 1. Husaidia kuratibu msukumo wa...
www.jamiiforums.com
THREAD 2: Jinsi ya kutoka nje ya mwili
Katika thread hii chini nimeeleza jinsi gani mtu anaweza kutoka nje ya mwili wake na kufanya survey katika ulimwengu wa kiroho ambayo ni moja kati ya state kubwa kabisa za mafanikio ya meditation
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection. Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho. Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama. Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo...
www.jamiiforums.com
THREAD ZINGINEZO:
THREAD
Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye
Jinsi ya kumuona mtu utakae muoa au kuelewa nae (DIVINATION) Mahitaji/vifaa: 1: Apple jekundu 2: Kitana (sio chanuo) 3: Kioo 4: Chumbani peke yako 5: Muda saa 6-8 usiku Ufafanuzi: 1: Apple - ni tunda lenye siri ndefu katika masuala ya mapenzi.. 2: Kitana: Hutumika kusugua nywele...
www.jamiiforums.com
THREAD
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra
Je, Unataka Kupima Nguvu Zako Za Ziada? Mind power? Fanya hivi: Mahitaji: 1: Sauti Iliosawia Ya Kwako 2: Taa au Mshumaa Fuata Yafuatayo Utaweza Kuwasha Na Kuzima Mshumaa Kwa Nguvu Ya Fikra Yako... Maneno Utakayo Taja Nimeyaandika Kiherufi Za Kukaza Na Kuvuta Ziweze Kuachia Nguvu Ya Ndani Yako...
www.jamiiforums.com
THREAD
Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao
Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kuu mbili; Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa. Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)
Habari Zenu Wanabodi Naileta Kwenu Mada Mpya Ya Lucid Dreams(Uelewa Ndotoni).... LUCID DREAMS: KWA KUANZA: Lucid Dreams Ni Pale Mtu Anapoota Na KujuaKwamba Naota Yani Yupo Ndotoni.. Na Ndani Ya Ndoto Ile Akajielewa Kwa HumuNaota Na Kufahamu Kwamba Hapa Nilipo Nimelala Na Humu Nilimo Ni...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis)
HYPNOSIS Katika makala hii nitakueleza kwa uchache kuhusu Hypnosis nikiwa na maana kupangua na kuhama kutoka sehemu moja ya fikra kwenda nyingine. Kwa Kuanza; Hypnosis ni rejea Inayohusu au Inayohusiana na Kudatisha na kuvuta maono kwa hali ya juu zaidi ambayo mara nyingi hutumika kwa kifaa au...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kujiponya maumivu kwa nguvu ya ubongo (Subconscious Mind) By Rakims
Jinsi Ya Kujitibu Maumivu Popote Mwilini: Kwa nguvu Ya Fikra... Ikiwa Ni Maumivu Kawaida Au Ya Kichawi.. Jambo! Ni Rakims Tena Na Power Of Subconscious Mind.. Nguvu Ya Ubongo Wako Sehemu Ya Siri Ya Ubongo Wako Inayoleta Effects Katika Spirit & Physical World Kwa Kukumbuka Nyuma Ukweli Mdogo...
www.jamiiforums.com
THREAD
Kujikwamua na tatizo la kutosimamisha magic/spiritual yaani jogoo hasimami
Habari zenu wakuu, Hii ni mada maalumu kwa wanaume wote ambao toka kitambo wanatatizo la kutosimamisha jogoo yani tofauti na kupanda mtungi yani hawiki kabisa. Kwanza naanza kwa pole kwa wahanga, japokua wametengwa ila tiba ipo kwa miujiza na dawa na roho basi kama line imekatika waweza...
www.jamiiforums.com
THREAD
AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims
Habari Wanabodi, Nakuja Tena na mada inayozungumzia kila kitu kuhusu Aura(Nguvu Ya Kwanza Kabisa Rahisi Ya Kufanywa Na Kila Mtu Kirahisi) Aura Ni Nini!? Wengi wamekua wakiskia tu kuhusu ulimwengu na nguvu mbalimbali alizonazo mwanadamu bila kuweza kuziexperience here i come with the First...
www.jamiiforums.com
THREAD
Meditation: Kufungua Chakra Ya Tano(Koo la Chakula) Rakims
Habari, Kwa Wale Wanaofahamu Kuhusu Mada Zangu Basi Hii Ni Random Inayoendelea Na Chakras "Maajabu Ya Koo La Chakula Au Kidaka Tonge" "Hapo Mwanzo Kulikuwako Neno, Nae Neno Alikuwa Kwa Mungu Nae Neno Alikuwa Ni Mungu" John 1:1 "Na Alikuwa Na Nyota Saba Mkono Wake Wa Kulia, Na Nje Ya Mdomo...
www.jamiiforums.com
THREAD
Kufahamu mambo yako hapa: Ramli ya kutizama mambo unayotaka
Katika makala hii kama unataka nikutizamie mambo yako: hii ni kwa wale wanaohitaji kutazama mambo yao ikiwemo, Haoa tutaweza kutizama: Nyota yako, Bahati yako, Kipato chako, Nyumba yako na mizimu yako, Kizazi chako na mali yako na ushindi wa kamari Maradhi na afya yako, Mahusiano na ndoa...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni
Habari Jamiah, Mliopo kwenye Jamii inteligence, ifuatayo ni aina mpya ya akili ningependa na nyinyi pia muifahamu ili muweze kufanikiwa mengi kupitia njozi zenu... Ndoto: Sipo hapa kuzungumzia ndoto ni kitu gani ila nitazungumzia jinsi ya kuzitumia katika mambo ya faida nitawafundisha njia...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kumuita mtu kila Jua linapozama na linapochomoza
Habari wanabodi, ifuatayo ni mada mahususi kwa wale wanaosumbuliwa kwa kuondokewa na watu mfano mzazi,ndugu au rafiki Nimeamua kuelezea trick hii kidogo ili iwe mfano kwa wengine watakao hitaji trick mbali mbali za kufanya wenyewe ambazo ni positive pekee hapana negative unless imekufika...
www.jamiiforums.com
THREAD
Nguvu ya muujiza 1: Apportation (kutokezesha na kupotezesha kitu)
Aportation: (kuhamisha maada (kitu) na kuidhihirisha upande mwingine) Apportation: ni moja kati ya aina ya nguvu za miujiza ambayo hii humuwezesha mtu kutoa kitu kutoka upande mmoja kwenda mwingine based from Spiritual world to physical world baadhi ya watu hutumia hii katika mazingaombwe...
www.jamiiforums.com
THREAD
NGUVU YA MUUJIZA 4: AUTOMATIC WRITING (Kuandika kwa kuongozwa na roho tofauti na yako)
KUANDIKA KWA KUONGOZWA NA ROHO: Kuandika: ni pale mtu anaposhika kalamu na chochote chenye kuwezekana kuandikwa na kuandika chochote anachojiskia Kuandika kwa kuongozwa na roho: ni paleambapo mtu anaandika jambo au mambo ima kwa kujua au kutokujua au kwa lugha inayoeleweka au isiyo eleweka...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili
ILI UWEZE KUTOA UCHAWI KWENYE MWILI: Kitu cha kwanza ni kujua kama umelogwa au umelaaniwa na mtu: Tizama kama kuna mtu ana sababu ya kukuloga. pima kwanza sababu uliyonayo inayoweza kumpelekea mtu kukuloga au kukutia laana(kijicho). Je, kuna mtu anaetamani uharibikiwe au uumwe au ufilisike...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kushinda michezo ya kamari
USHINDI WA KAMARI: Hii ni spell rahisi itakayo kufanya ushinde michezo mbalimbali ya kamari. lakini kumbuka kuwa kamari ni michezo mibaya na haramu lakini watu wamejikuta wakicheza na kulazimika kucheza kwa sababu imepewa kipaumbele maeneo mengi sana sasa kuliko kukosa kabisa na kupata...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kutumai kitu chochote au jambo lenye urahisi kuwa ndani ya dakika kadhaa
WISH FULFILL WITHIN AN HOUR Je ulishawahi kutamani jambo litokee kwa haraka na urahisi zaidi na likashindikana? Hii hapa njia rahisi ya kutimiziwajamb unalotaka kwa muda mfupi. Jinsi ya kufanya: Kaa faragha asikuone mtu ukiwa peke yako na ufanye meditation ya dakika 3 hadi utulize mawazo...
www.jamiiforums.com
THREAD
Jinsi ya kutumia Ubani kwa faida mbali mbali
UBANI hii ni moja kati ya aina la vumba au dawa ya kuchoma au marashi ya nyumba au mwili na ubani ni aina ya nta au gundi inayopatikana africa,asia na america hii imekuwa ikiuzwa sana na wengi wamekuwa wakinunua kwa faida moja tu ya kufanya manuizi na kufukiza kama perfume na kulisha majini...
www.jamiiforums.com
THREAD
Vuta chochote Unachopenda kwa kutumia Sukari
Vuta unachopenda kwa kutumia Sukari Sukari ni mmea dawa unaotoka kwenye Muwa, na kutokana na ladha yake, kuacha hivyo pia ladha na utamu wa sukari ulishawahi kuweka record ya dunia katika kusaidia uhai wa watu wote hivyo pia kiroho humsaidia Mganga au muhitaji kuvuta baadhi ya vitu...
www.jamiiforums.com
THREAD
Faida za Qisti 30
QISTI Faida za Qisti huwezi kuzizungumzia kwa mara moja zikajulikana na kueleweka zote kwa mara moja, qisti ina faida nyingi sana ambazo ukikaa na kuzisoma utatamani uipate sasa hivi na kuanza kuitumia hata kama ulikuwa ukiitumia kwa mambo machache, utatamani uanze kuitumia kwa mapana na...
www.jamiiforums.com
THREAD
Tofauti kati ya jinamizi na ganzi ya ndoto (SLEEP PARALYSIS)
JINAMIZI: Hiki ni kile kinacho aminika kuwa kiumbe chenye kukaba watu pale wanapolala chali au kuwasababishia watu kushindwa kukwepa wala kutingishika, lakini si kiumbe kama inavyoaminika na baadhi ya watu ni aina ya uchawi unaotengenezwa kwa kutumia upepo wa shetani, GANZI YA NDOTO: Hii...
www.jamiiforums.com
THREAD
Zijue athari za kioo kiroho
KIOO kioo ni moja kati ya vifaa vinavyotumika kuonyesha kitu kama copy yake jinsi ilivyo kwa akili ya kila mtu natural bila kufundishwa hujua hivyo, Lakini kwa kitaalamu kioo kinatambulika kama uso, wenye aina ya chembe chupa zilizounganishwa na madini ya Amalgam ambayo huonyesha picha...
www.jamiiforums.com
THREAD
Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu
BAADHI YA MAJINA NA KAULI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZOTUMIKA KUUMBA Yatakayo Elezewa: 1: majina ya kuamsha walinzi wa mbingu zote na faida zake 2: majina yaliyokuwapo kwenye fimbo ya Mussa na Nabii (Issa/Yesu) kufufulia wafu na kuponya na kauli alizotumia baba yetu Adam kuombea msamaha na faida...
www.jamiiforums.com
THREAD
Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)
Inaweza kuwa unaumwa maradhi ya hovyo hovyo hayaelezeki na umejaribu sana kutibiwa hospitali au tiba mbadala au kwa mashehe na mapadre bila mafanikio, leo nitakujuza maradhi kuu saba yanayobebwa kiroho na yenye kukutesa kisiri kwa kujua au bila kujua na hayatibiki hadi upate dawa za kiroho...
www.jamiiforums.com
THREAD
Badili maisha yako leo: Yajue Mawe Saba na Madini saba tu yanayoweza kukubadilishia au kukuletea unachotaka
JINSI YA KUBADILI MAISHA KWA KUTUMIA MAWE NA MADINI Makala hii itakufundisha jambo ambalo linaweza kubadirisha mlolongo wa maisha yako kwa njia moja au nyingine ikiwa utafuata vema na kutilia maanani kisha ukatendea kazi. Kila mtu katika maisha hufikia kipindi na kuanza kujiuliza maswali kama...
www.jamiiforums.com
THREAD
Maelezo muhimu kuhusu majini!
Majini na jinsi ya kuwakwepa: Allah/Mwenyezi Mungu Alisema katika kitabu chake kitukufu: Chapter (51) sūrat l-dhāriyāt (The Wind that Scatter) Sahih International: And I did not create the jinn and mankind except to worship Me. Pickthall: I created the jinn and humankind only that they...
www.jamiiforums.com
THREAD
Uthibitisho wa kutajwa kwa aliens (viumbe kutoka sayari nyingine) katika Quran
Je, hivi unadhani kwamba tupo peke yetu katika ulimwengu mzima? HAPANA Kuna bilioni mia ya nyota zilizopo angani ambazo nazo karibu zote huwa kama zimezunguka Sayari moja ambapo nyota hizo huwa ni pamoja na Gesi na vumbi na mgandamizo wa uvutano uliopo angani kwa pamoja huitwa Galaxy. Ambapo...
www.jamiiforums.com
THREAD
Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)
Thread hii nimeandaa mahususi kwa ajili ya kujibu na kutoa maelekezo vile nilivyo jaaliwa kuhusu maisha upande wa pili yaani ulimwengu wa kijini kichawi na kimiujiza, ikiwa una swali lolote kuhusu upande huo basi niulize na wanaofahamu zaidi wataweza kuelekeza kupitia Thread hii ikiwa kuna jambo...
www.jamiiforums.com
Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako
IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12 zimechomoza wakati anazaliwa. Pia elewa ya kwamba ndugu yangu nyota yako moja imegawanyika katika...
www.jamiiforums.com
kama una swali ambalo ni personal na upo nje ya forum:
Wasiliana nami kupitia email hii:
Rakimsspiritual@gmail.com
au namba hii ya mtu aliye karibu nami
+255783930601
Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:
Rakims