CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 7,617
- 16,714
Blah blah blah. Jumapili kama kawa na hauna cha kufanya.
Wewe utakuwa KANISA la Mashonga
Blah blah blah. Jumapili kama kawa na hauna cha kufanya.
Unawwashwa sana. Uongo bila haya yani unakusaidia nini? Tufanye basi ni kweli. Kwani umelazimishwa kuwa mkristo mkatoliki? Mbona sisi wenyewe hatuna shida yani tuna amani. We usiehusika ndio unawashwawashwa sana? Ukumbi wenyewe huu hapo chini..UKUMBI WA PAPA kama Joka
Unawwashwa sana. Uongo bila haya yani unakusaidia nini? Tufanye basi ni kweli. Kwani umelazimishwa kuwa mkristo mkatoliki? Mbona sisi wenyewe hatuna shida yani tuna amani. We usiehusika ndio unawashwawashwa sana? Ukumbi wenyewe huu hapo chini..
Mnatunga uongo kwa faida gani? Paul VI Audience Hall - Wikipedia
Ndio najivunia sana tu.Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
Mathayo 15:8
9 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
Mathayo 15:9
MAAGIZO YA WANADAMU NI YAPI?????
Hakuna sehemu Biblia inaruhusu haya.
1. Ibada za Sanamu.
2 Bikra maria kuwaombea.
3. MATUMIZI ya Rozali.
4. Kunywa pombe na Kuvuta sigara.
6. KUBADIRI majora na nyakati.
7. Majibu nk
ENDELEA KUJIVUNIA SANA KUWA MKATOLIKI
No. Mafundisho yako wewe ni ya kisabato,NIMEFUNDISHWA HIVI
4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4
No. Mafundisho yako wewe ni ya kisabato,
Mafundisho ya chuki.
Dhehebu ama dini yeyote ambayo inaongelea dhehebu au dini nyingine katika Mafundisho yake bhasi ujue haijitoshelezi kimafundisho.
Hivyo ili kulinda amani na mikanganyiko, mambo haya ya dini ni upofu tu... Wala hamtoelewana mtabaki kukashifiana tu.
Japo binafsi siamini katika Mungu...
Mimi nimfuatiliaji mzuri wa mijadala hii ya kidini, asili na tamaduni mbalimbali.
Hivyo msikashifiane. Pangeni hoja kistaarabu kabsa. Pangueni hoja pia kistaarabu.
♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️
Mshenzi anaamini joka linaloongeaKAMA HUMUAMINI MUNGU BASI.
HUMUAMINI MUNGU?!!!!!!!
YANI KABISA HUMUAMINI MUNGU .
DAHHHHHHHH...............
BIBLE INASEMA MPUMBAVU HUSEMA HAKUNA MUNGU.
KWA HIYO SIWEZI KUKUJIBU WEWE....
Lakini makao makuu ya wasabato yako marekani kama sikoseiHapa nina maswali mawili naomba msaada, nifahamishwe.
1. Utukufu wa mji huu umetajwa kwenye kitabu gani au imekuwaje ukawa mji mtukufu/mtakatifu ?
2. Tunaambiwa ya kuwa Wakristo ni wafuasi wa Yesu, imekuaje makao makuu ya kundi hilo la Kikristo ni Italy na si kule kwenye asili ya yule wanae jinasibisha nae ?
Shukrani.
Mashaka.ni mengi sana.Kiujumla.ni C&P ya biblia.Nani alimpa.Muhammad utume kama si Waraqah?Hapana hizo siyo Hadithi, Qur'an ni jina la kitabu. Mara nyingi jina huwa halitafsiriwi lakini maana yake kwa Kiswahili ni "kisomo".
Isome Qur'an utaona raha sana, hakifanani na kitabu kingine cochote. Moja ya raha zake ni ujumbe unakufikia direct. Hakuna longolongo humo na hakina shaka.
Weka ushahidi wa maandishi, hatutaki porojo zako. Soma:Mashaka.ni mengi sana.Kiujumla.ni C&P ya biblia.Nani alimpa.Muhammad utume kama si Waraqah?
1 Kings 6Wala usiende huko, hapana shaka huko. Jisomee aya hiyo hiyo uliyoiweka sasa anzia aya ya 11, utaelewa tu ukipenda au usipende...
12. Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. 12
13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru. 13
14. Na tulipo mhukumia kufa, hapana aliye wajuulisha kufa kwake ila mnyama wa ardhi aliye kula fimbo yake. Na alipo anguka majini walitambua lau kuwa wangeli jua ya ghaibu wasingeli kaa katika adhabu hiyo ya kufedhehesha. 14
Nna uhakika mpaka hapo umejiona ulivyo muongo na utajirekebisha kijana. Qur'an haina shaka ndani yake.
Mungu hutumia Malaika wake kumfanyia kazi,kwa nini allah atumie majini?Unakwepa swali makusudi , Koran inasema Allah alituma majini yaende kwa sulemani kutengeneza masanamu kwa adhini ya Allah sasa jibu
Jibu swali
Taja sababu ya Allah kubadili masanamu yenye umbo la mitume na Malaika Kisha akaleta sanamu moja jiwe na jiwe lenyewe lina shape ya uke?
Nataka sababu ya Allah kuwaletea jiwe
Its purely business on God's name.Kwa sababu ya Yohana 4:21 -24 Ndio maana na kutana na Bwana Yesu katika Roho na Kweli hapa kijijini Lupaso sina sababu ya kupanda Yerusalemi tena kwa ajili ya kuworship kama wale wa Agano la Kale. Lakini hata Bwana Yesu akirudi leo sina shaka kwa vile Ufunuo wa Yohana 1:7 ulishanipa uhakika.
Ndiposa na uliza kwa nini Vatican ichukue nafasi ya Yerusalemi ya kuwa .mji mtakatifu?
Usichanganye Uyahudi na Ukikro, Yerusalemu ni mji mtakatifu kwa dini ya Kiyahudi. Yesu licha ya kwamba alizaliwa kwa imani ya Baba na Mama kama myahudi alitengua Uyahudi na Amri kumi. Alifukuzwa kutokufundisha Hekaluni kwani mafundisho yake yalipingana na Uyahudi. Alipokufa wafuasi wake waliwindwa na kuuwawa wengi walikwenda uhamishoni katika nchi za afrika middle east. Ni Mt. Peter tuu ndio aliweza kumfikia na kimbatiza mtawala wa kilumi na hivyo kuanzisha kanisa Italy. Vatican ndio lilipoanzia kanisa huru la wakristo.Kwa sababu ya Yohana 4:21 -24 Ndio maana na kutana na Bwana Yesu katika Roho na Kweli hapa kijijini Lupaso sina sababu ya kupanda Yerusalemi tena kwa ajili ya kuworship kama wale wa Agano la Kale. Lakini hata Bwana Yesu akirudi leo sina shaka kwa vile Ufunuo wa Yohana 1:7 ulishanipa uhakika.
Ndiposa na uliza kwa nini Vatican ichukue nafasi ya Yerusalemi ya kuwa .mji mtakatifu?