moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 911
- 925
Mzee wangu baada ya kifo cha yesu au baada ya yesu kupaa mbinguni!! Maana yesu kafa siku 2 ya 3 kafufuka sasa unasema peter alikwenda Italy baada ya kifo cha yesu inaamana ni cku mbili tu peter kafika italy mhhhhhVatican kuwa mji mtakatifu pia kwa wakatoliki ni kutokana na sababu kuu mbili, moja, Wakati muanzilishi wa dini na kanisa katoliki duniani mtakatifu Peter (ST Peter) aliyekuwa mwanafunzi wa Yesu anaanza mafundisho juu ya ukatoliki mwaka 32-67 alifikia Vatican akitokea Jerusalem mara baada ya kifo cha Yesu, hivyo hili kumuenzi mji huo wa Vatican umepewa heshima hiyo ya holy city.
Sababu ya pili ni makao makuu ya kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani.
Halafu hakuna hata mfuasi wa yesu alofika ulaya