ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 326
Upepo wa Pesa nashukuru sana kwa thread yako mkuu. Jana nlifanikiwa kumuungisha mdau humu kwa kununua rollers tatu za drip-lines. Nlipanga kuagiza China lakini alitoa offer nzuri nkaona nisipoteze muda kusubiri meli