Special program UDOM


logo.png


Habari yenu!

Leo napenda kutoa taarifa kuwa UDOM walishaanza kufanya application za special programme diploma sayansi na hesabu,kwa hiyo kama wewe ni kidato cha nne au cha sita na ulifaulu vizuri masomo ya sayansi apply sasa,kwani mikopo inatolewa kwa wale wote wataoomba na kupata, maombi yako yanaakaribishwa sana.

Kwa taarifa zaidi ona viambatanisho hapa chini.

Fomu ya Maombi: View attachment 251657

Mwongozo na vigezo vya kujiunga Diploma: View attachment 251658
Safi. Mwongozo wa Bodi unasema:

  1. Diploma in Science/Mathematics with Education and Diploma in Primary Education (Science/Mathematics) students.

For Diploma in Science/Mathematics with Education or Diploma in Primary Education (Science/Mathematics) students who are eligible for loans in the 2015/2016 academic year must meet the following conditions:-


  1. Must be Tanzanian


  1. Must have applied for a loan through the Online Loan Application System (OLAS).


  1. Must have been admitted at the University of Dodoma under special programme to pursue Diploma in Science/Mathematics with Education or Diploma in Primary Education (Science/Mathematics).


  1. Must have completed form four or NTA Level 4 between the year 2010 and 2014.


  1. Must have passed at division I, II or III in their form four National Examinations or attained not less than a C in their NTA Level 4 for Science related Programmes.


  1. Must be, not more than thirty five (35) years of age at the time of application for loans.


  1. Must be a person who is not fully funded by any other organization or sources.


  1. Must be willing to sign a bond to serve as a Science/Mathematics Teachers within the Country for a period of not less than five years.


  1. Loans for Diploma in Science/Mathematics with Education students may be issued to cover either partially or fully the following items;
i. Meals and Accommodation charges
ii. Books and Stationery expenses
ii. Field Practical Training expenses
iii. Tuition Fees
Mwongozo unapatikana katika Higher Education Students' Loans Board -HESLB
 
wadau hivi maombi ya special program science/mathematics udom yalisha anza au bado msaada wakuu
 
Labda nikuambie mwisho tu kuwa ni tar 30 June(mwizi huu) maana maombi yalianza kutumwa kitambo sana.
 
Hata mm nimecjaguliwa hapo xx naomben msaada wenu tunaripot lin na iyo joininstruction itakuwa lin
 
Back
Top Bottom