Special program UDOM

Sep 16, 2014
48
5
Mimi nimemaliza kidato cha sita nataka niombe UDOM kozi maalum iyo ya sayansi kwa kutumia matokeo ya cha nne, vipi wakubwa utaratibu kwa mwaka huu

logo.png

Habari yenu!

Leo napenda kutoa taarifa kuwa UDOM walishaanza kufanya application za special programme diploma sayansi na hesabu,kwa hiyo kama wewe ni kidato cha nne au cha sita na ulifaulu vizuri masomo ya sayansi apply sasa,kwani mikopo inatolewa kwa wale wote wataoomba na kupata, maombi yako yanaakaribishwa sana.

Kwa taarifa zaidi ona viambatanisho hapa chini.

Fomu ya Maombi: View attachment 251657

Mwongozo na vigezo vya kujiunga Diploma: View attachment 251658
 
mkopo wanapewa kwa watakao chukua diploma ya ualimu wa masomo ya sayansi au na watakao chukua course za afya mfano: pharmacy au nursing
 
*****************

msisahau Wadau

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Mfano mtu akafor !math B,phy F,bios B,chem D,geo D anaweza akapata kwel kwa matokeo ya form iv?
 
logo.png

Habari yenu!

Leo napenda kutoa taarifa kuwa UDOM walishaanza kufanya application za special programme diploma sayansi na hesabu,kwa hiyo kama wewe ni kidato cha nne au cha sita na ulifaulu vizuri masomo ya sayansi apply sasa,kwani mikopo inatolewa kwa wale wote wataoomba na kupata, maombi yako yanaakaribishwa sana.

Kwa taarifa zaidi ona viambatanisho hapa chini.

Fomu ya Maombi: View attachment 251657

Mwongozo na vigezo vya kujiunga Diploma: View attachment 251658

lugano tunashukr sana kwa taarf njema . sasa kwa upande wa mkopo utatolewa vp ? au wata to a muda wa kutuma maombi ya mkopo?
 
Kwenye form tumeambiwa tulipe 50,000/= bank CRDB sasa iyo taarifa ya malilpo tunaiambataniisha vipi kwenye zile form? msaada ndugu zanguni
 
Back
Top Bottom