Spares za John Deere 3050

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
natafuta Tyre rod ya kushoto ya JD , nimeharibikiwa shambani tafadhali!

Mods nisaidie nataka kuweka picha ya hiyo kitu hapa.

trekata 2.jpg trekta 5.jpg

trekta 3.jpg Trekta.jpg

trekta 4.jpg
 
ukiweka picha tutakusaidia. kampuni nako fanya kazi tuna product hiyo gators 2 za JD
 
Dah! hii ni zaidi ya great! inapendeza sana JF inapokuwa jukwaa muhimu kiunganishi kwa wadau muhimu wa maendeleo! BigUp JFers!
 
Jamiiforums ni CHIBOKO...........kama ulikuwa hujui hilo amini kuanzia sasa!

Nawashukuru mliotoa msaada, Mungu awabariki.

Masikini Jeuri.

Tunashukuru pia...vipi kwani umeshafanikiwa?? Namimi nina JD 3050 ila cjawah pata tatizo kama lako. Kila la kheri
 
Jf ikiwa hivi itarudisha watumiaji makini ambao wengi wao wametokomea kwenye mitandao mingine kutokana na kuvamiwa na makundi tofauti !
 
Kwa kwel nimefurahishwa sana na namna mmevyomsaidia Maskin Jeuri_naomba mnisaidie kuwasiliana na ndugu anaetumia Id ya John Deer, nimetuma post kwny thread yake ya leo lakn nadhan hajapata nafac ya kurud huko kwsbb ya maboara
 
Tunalazimika.
Nimeshakucheki bosiwangu
 
Back
Top Bottom