Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,134
- 174,040
Jamaa amerundika maspika sehemu moja kama mafungu ya vitunguu 😂😂😂Mziki mzuri ila epangiliwa hovyo.. haujapangiliwa unavyopaswa kupangiliwa.
Mti wenye matunda.
Jamaa amerundika maspika sehemu moja kama mafungu ya vitunguu 😂😂😂Mziki mzuri ila epangiliwa hovyo.. haujapangiliwa unavyopaswa kupangiliwa.
Mti wenye matunda.
Hi-fi nzuri kwa outdoors, kama una lounge yako au bar ukiweka hi-fi system ndio mwake zaidi. Kwa nyumbani ni nzuri pia hasa kama unataka uwatese na majirani!Hi-fi music system ndio ndoto sitaki radio yeyote kwa sasa mpaka nisafiri au nipate mtu anajua mziki na anae aminika CHIEF MKWAWA nadhani Alisha elezea hapa hi-fi ndio baba yao baada ya home theater.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi Fi na home theatre ni wanyama tofautiHapo ni kwamba Sony wamejitahidi kutengeneza system ambazo ni affordable kwa watu wengi. Ila kuna systems za Hi-Fi ambazo sony hafikii kabisa ila pia hazigusiki bei mkuu, kwa mfano ukitane na Hisense Hi-Fi system ina Front speakers 4 na surrounds 4, na ina 8,000Watts Bass Blast Woofer mkuu! Mara ya mwisho niliona mwaka jana ilikuwa inauzwa 8.9Million mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
model gani hiiNaona KELELE ZIMEZIDI...tafuta MDUDU HUYO SAMSUNG UTULIE.....wachana na MAUZAUZA View attachment 1402417
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nataka home theater yenye spika zile ndefu walau nne iwe ni lg ,samsng, sony i don care wadau mnaoifaham fashen hio mnipe ideas
Kwema mkuu! Aisee nimefatilia huu uzi uko poa sana...na mimi langu limezingua sony ni siku ya pili leo sauti ndogo, ilianza kupungua yenyewe kila nikiongeza sauti baada ya mda nakuta imepungua. Nimejaribu kuset kila kona wapi mpaka nikalidefoult lakin wapi mpaka sasa inaongea sauti ndogo sielewi nakosea wap, msaada kwa wataalamu wanaozijua zaidi izi sony.Kinachofanya iwe na mziki laini sana ni mpangilio wa Front speakers na hizo surrounds speakers. Mwambie ahakikishe speaker zenye alama L(Left) zote ziko upande mmoja na zenye R(Right) zote ziko upande mmoja pia! Unapochanganya front L & surround R upande mmoja huwa inafanya kama ku-neutralize Bass ya Sub-Woofer hapo! Pia Home theatre za Sony huwa surrounds speakers zinakaa kwenye position ya kuangaliana na Front speakers,sio zote unaweka mahali moja! Surronds weka juu nyuma ya makochi yako ziwe zinapiga kwa nyuma yako.
Pia kama anataka kuongeza Bass ahakikishe ameconnect HDMI na TV yake, then DAV iwe kwenye USB au DVD Mode then afungue SETUP, atapata settings za kurekebisha speakers zote kuanzia za mbele mpaka surrounds na level ya volume anayotaka kwa moja moja...kama asipoelewa nitawawekea video hapa ya namna ya kuiset SONY DAV-DZ650.
Hii system ni nzuri sana ni watu wanashindwa tu kuitumia. USB inachagua sana, inatakiwa uwe na Flash Disk genuine, hizi za hovyo hovyo haiplay kabisa na pia kwa USB inaplay Mp3 format na AAC tu kww AUDIO files wakati Video inaplay only XVID(.avi), ukiweka mp4 itacatch audio tu! Ila upande wa DVD ,audio inaplay Mp3, AAC na .flac formats, na video files upande wa DVD inaplay almost zote as long as umeburn CD yako kwa mfumo wa DVD Video. Ndo maana ikaitwa SONY DVD Hometheatre system. Wamefanya makusudi kuondoa luxury kwenye USB ili iendane na TV yake ya SONY BRAVIA ndo maana kwenye remote ya hiyo home theatre kuna mahali imeandikwa BRAVIA sync, hapo kama una TV ya SONY BRAVIA unakuwa unacontrol kila kitu kwa remote ya Radio.
Pia kwa wale wapenda movies huu ndo mdude wetu sasa, kwenye surrounds control kuna mode inaitwa DOLBY PL, hii ukifungua inaruhusu surrounds zipige kwa 5.1 Dolby stereo channels, kwa kweli utajihisi kama uko Cinema kama umepangilia speaker zako vizuri.
All the best, ila nikuhakikishie hakuna mziki wa maana kama SONY HOME THEATREView attachment 1063029
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema kabisa.... kwa ninavyofahamu mimi...hapo utakuwa unakumbana na matatizo kati ya haya matatu;Kwema mkuu! Aisee nimefatilia huu uzi uko poa sana...na mimi langu limezingua sony ni siku ya pili leo sauti ndogo, ilianza kupungua yenyewe kila nikiongeza sauti baada ya mda nakuta imepungua. Nimejaribu kuset kila kona wapi mpaka nikalidefoult lakin wapi mpaka sasa inaongea sauti ndogo sielewi nakosea wap, msaada kwa wataalamu wanaozijua zaidi izi sony.
Sent using Jamii Forums mobile app