Songea: Daktari agoma kumtibu mgonjwa hadi umeme uwake kwanza

Serikali haina pesa za kuweka umeme kwani pesa zote zimetumika kufanya biashara ya kisiasa kununua wapinzani.
 
Sidhani kama hospital ya mkoa ikose jenereta ya dharura!
jenereta ipo ila haitumiki mkuu mbovu.tetesi zipo vile vichanga visivyotimia siku zao za kuzaliwa vilipoteza maisha vingi usiku ule kwa kukosa joto.
 
Back
Top Bottom