Somo kwa wadada.' .Utumwa huu ni zaidi ya ule wa wakoloni!!

kinachonikera mm ni kutokuwa mkweli kwenye mahusiano from the word go! kuna haja ya kujadili expectations zako kwenye uhusiano kabla ya kujiingiza. manake sasa shida inakuja, wanaume wenye kupenda huo mtandao (leave morality out of this), wanawapa shida wake zao either kwa kuwashawishi ama kwa kutoka nje kwa siri. haya sasa na wanawake wapenda mtandao huu hawana courage ya kushawishi waume zao wanaishia kutoka nje kisirisiri!jamani wakaka tusaidieni,muwe mnauliza maswali magumu basi!
King'asti, hapo kwenye red mi kama nimekupata vile.... lakini tatizo ni uwazi wenu...! Can you help me how to ask a such question so that I can get the right answer?
 
Back
Top Bottom