gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Kongosho hivyo vitu vidogo vidogo katika context gani haswa? hata wale wa karibu yao wanaweza kukufanya usione furaha ama usitimize lengo la maisha bado, kumbuka hata mwanaao can do the same, to me na hapa najua King'asti atanielewa ni kwamba mantiki ya maisha ni katika kutimiza wajibu wako basi.Na hapa ndipo huwa najikanganya na watu wanaonizunguka
Tafsiri ya maisha na yangu naona ni tofauti sana
Tunaishia kugombana pasipo sababu
Ndio maana leo nikaamua niulize, kwani mantiki ya kuishi ni nini?
Labda nikipata mawazo ya wengine, naweza ona niko umbali na karibu na ukweli kiasi gani?
Asante, wewe umenielewa haswaa, nadhani maana ya maisha iko katika vitu vidogo vidogo sana
ukimiliki familia nzuri yenye tija is simpy because you full felt your obligations na hizi unazipokea kama rewards tu muda mwingine ama kama kitu cha kukumtivate tu.
Last edited by a moderator: