sometimes . . .

kweli umenena, ni upepo tu

wajua nini tunaletwa duniani tunastrugle kupata tutakavyo bt then mwisho wa cku twaondoka na kuacha yote tuloyatolea jasho.hayo ndo maisha ya mwanadamu nadhani muumba alifanya hivyo/alitupa hii life circle ili kuyapa maisha meaning pia yasiwe boring.hivyo wenye upeo wanajikuna wanapofikia bt hawajipi stress na hii life,wanaridhika na walichojaliwa na kuwa happy.
 
unaweza jikuta unahangaika kutafuta vitu, lakini unavyovitafuta si vile uvitakavyo kiukweli.

sometimes huwa najikuta nashangaa tu
hivi tunaishi kwa ajili ya nini?

Baada ya kupata hayo yooote unayoyahangaikia, then what?

....dah :( kongosho are you ok?
Au ni usongo wa mawazo unakunyemelea.

Be positive bana, maisha haya ukiyaendekeza na kwakuwa hayana majibu rahisi, utajikuta ushajivisha kitanzi unakaribia kupiga teke ki stuli!
 
mambo yanayoweza kumfanya binadamu aweze kuwaza juu ya sababu ya kuish ni pamoja na
1) ugumu wa maisha unaopelekea kutoridhika na hali halisi.
2) kuwa na malimbikizo kunakopelekea kuridhika kupita kiiasi
3) kukata tamaa, sababu ya misiba na upweke pamoja kutokubalika na mwisho kabisa
4) kutokuwa na uhakika na yale Mungu anayosema juu ya maisha

jambo la msingi ili uweze kukabiliana na haya yote stay in a positive mind, never loose hope, let God be on your side kwasababu hutakuwa na hofu yyte ile. Mungu anasema hivi Yeye akiwa upande wetu hakuna kitakachokuwa juu yetu.
usiogope kumwona mtu tajiri sana anakufa na kuacha mali zake zote ukahurumia nguvu zake za ujana alizotumia hata siku moja, kwani Yaezekana Mungu alimkusudia yeye kuwa daraja tu la kupitisha iyo mali ila mlengwa aliyelengwa kunufaika nayo yupo na atanufaika tu. tena anawezekana kabisa huyu mlengwa asiwe mtoto ama ndugu marehem bali mtu baki tu.

so kujiuiza juu ya kwann tunaish huwa naona kama ni kutaka kucomplicate maisha tu.
 
pamoja na kuwa positive, lakini mantiki ni ipi?

Nafahamu mantiki za maisha haziwezi fanana kwa kila mmoja, lakini hebu nipe ambayo wewe unaona ni mantiki zaidi.

....dah :( kongosho are you ok?
Au ni usongo wa mawazo unakunyemelea.

Be positive bana, maisha haya ukiyaendekeza na kwakuwa hayana majibu rahisi, utajikuta ushajivisha kitanzi unakaribia kupiga teke ki stuli!
 
unaweza jikuta unahangaika kutafuta vitu, lakini unavyovitafuta si vile uvitakavyo kiukweli.

and life is just like that, huwa mara zote haiwez kukupa yale unayoyataka and if it was like that usingekuta watu wanafanya kazi ama hata kusali humu duniani. think of baada ya gharika mwanadamu alijenga mnara wa babeli ili tu siku Mungu atakapo gharikisha basi aweze kukwea na ili asigharikishwe. Lakini wafikir wangefanikiwa wangekuwa na nidhamu kwa Mungu wao? jibi ni hapana manake wangejua tunpo pakuponea.

Mungu ameweka haya ili tu kila siku tuzidishe imani kwake, and your efforts anazibariki na si lazima azibariki pal unapotaka la hasha bali pale atakapo. ukitaka kuamini Mungu alikusudia kumbariki Ibrahimu toka mwanzo but alijua kwamba nikimpa mtoto kwenye viuno vyake mapema basi atanikosea tu. manake aanweza akahamisha uungu kwa mtoto. sasa Munu ilimlazimu kumpitisha abraham kwenye mapito ya kutokuwa na mtoto hadi umri wake wa uzee sana na mwanadamu kwa kupenda apatiwe vitu kwa matakwa yake mkewe akamshauri azae na hajira.

lakini kumbuka pia wakati wa Mungu ulipofika Sara mwenyewe aliona kwamba ahwez kukaa na hajira sehemu moja hivyo akamsihi mumewe amtoe na mume kwa mapenzi alikataa hadi Mungu alipomwambia Abraham msikilize keo sara na umtii sasa umeona jinsi ambavyo Mungu yuko?

ni wazi kwamba alimpa Abraham mtoto ila kwa wakati wake ulokubalika na aliruhusu ishamael azaliwe ili tu kumwonyesha bnadamu kwamba huwa anakutana na haja za mioyo yetu na ukitaka kitu atakupa tu na mara nyingine hata yale ambayo hajapanga kutupa ila anatupa kwasababu tumemlazimisha na yeye alishasema kwamba hatashindana na mwanadamu kwani nae ni nyama kama alivyo yeye Mungu.
 
hayo yote uliyoyasema nayaelewa.

Lakini, ni mambo mengi complicated lakini bado kuna saa huwa tunajiuliza, hasa ya kiimani.

Ni kama tu hili la maisha, mantiki yake ni ipi?
Wee nikikuuliza, kwa nini uko positive na maisha, utajibu nini?

mambo yanayoweza kumfanya binadamu aweze kuwaza juu ya sababu ya kuish ni pamoja na
1) ugumu wa maisha unaopelekea kutoridhika na hali halisi.
2) kuwa na malimbikizo kunakopelekea kuridhika kupita kiiasi
3) kukata tamaa, sababu ya misiba na upweke pamoja kutokubalika na mwisho kabisa
4) kutokuwa na uhakika na yale Mungu anayosema juu ya maisha

jambo la msingi ili uweze kukabiliana na haya yote stay in a positive mind, never loose hope, let God be on your side kwasababu hutakuwa na hofu yyte ile. Mungu anasema hivi Yeye akiwa upande wetu hakuna kitakachokuwa juu yetu.
usiogope kumwona mtu tajiri sana anakufa na kuacha mali zake zote ukahurumia nguvu zake za ujana alizotumia hata siku moja, kwani Yaezekana Mungu alimkusudia yeye kuwa daraja tu la kupitisha iyo mali ila mlengwa aliyelengwa kunufaika nayo yupo na atanufaika tu. tena anawezekana kabisa huyu mlengwa asiwe mtoto ama ndugu marehem bali mtu baki tu.

so kujiuiza juu ya kwann tunaish huwa naona kama ni kutaka kucomplicate maisha tu.
 
pamoja na kuwa positive, lakini mantiki ni ipi?

Nafahamu mantiki za maisha haziwezi fanana kwa kila mmoja, lakini hebu nipe ambayo wewe unaona ni mantiki zaidi.

to me mantiki ya kuish ni kutenda yale yanipasayo kutenda basi. so huwa nafurah zaid ninapotimiza wajibu wangu ipasavyo na hii hunipelekea kuona kwamba nimetimiza kusudi lang la kuish.
 
hayo yote uliyoyasema nayaelewa.

Lakini, ni mambo mengi complicated lakini bado kuna saa huwa tunajiuliza, hasa ya kiimani.

Ni kama tu hili la maisha, mantiki yake ni ipi?
Wee nikikuuliza, kwa nini uko positive na maisha, utajibu nini?

jib post yangu #15
 
nadhani najaribu kupata mtizamo wako gfsonwin, maana ya maisha unaweza kuipata zaidi katika mambo ya dini, nje ya dini?
 
Last edited by a moderator:
ni mfalme Suleman kwenye biblia alitumia hili neno kuyaelezea maisha.

Baada ya kuoa wanawake 1000, masuria sijui 300, kuwa na hanging gardens, utajiri wa kupindukia.

Mwisho alisema 'maisha ni ubatili mtupu na kujilisha upepo'

nadhani hata aliangalia nyuma akakosa maana ya kuishi ni nini au hakuelewa, baada ya anasa zote alizofanya then?

Jamani upepo ni nini wengine semi hizi ni mpya!
 
Back
Top Bottom