Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,239
22,318
Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;

1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya

2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha

3. Chalamila - RC Dar es Salaam

4. Alberto Msando - DC Handeni

5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje

6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA

7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano

8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA

9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT

10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
 
🗑️🗑️
 
Lingekuwa gazeti ningewapa wamasai wachambie mbugani
 
Kwanini umesema na wapinzani pia wapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;

1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya

2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha

3. Chalamila - RC Dar es Salaam

4. Alberto Msando - DC Handeni

5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje

6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA

7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano

8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA

9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT

10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
Machawa mna mchango mkubwa sana kumfanya aonekane si lolote si chochote.
 
Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;

1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya

2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha

3. Chalamila - RC Dar es Salaam

4. Alberto Msando - DC Handeni

5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje

6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA

7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano

8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA

9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT

10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
🚮🚮🚮
Kama wamekununua uwasafishe humu waambie watafute mbinu ingine
 
😁😁😁" Eti Kwa mamlaka niliyojipa " OK tunakupa mamlaka kutoka JF tuletee viongozi waliofanya vizuri mwaka 2023.
 
Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi. List ni kama ifuatavyo;

1. Ummy Mwalimu - Waziri wa afya

2. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa fedha

3. Chalamila - RC Dar es Salaam

4. Alberto Msando - DC Handeni

5. Januari Makamba - Waziri wa mambo ya nje

6. Cecilia Paresso - Mbunge viti maalum CHADEMA

7. Nape Nnauye - Waziri wa mawasiliano

8. Hawa Bananga - Mbunge viti maalum CHADEMA

9. Abdul Nondo - Kiongozi wa vijana ACT

10. Jumaa Aweso - Waziri wa maji
And vice versa is true.
 
11.Lomarisa-Waziri wa Maji Yanga FC
 
Mwigulu Nchemba is the best kwa wote hapo issue ya Uchumi sio mchezo ili wote wang’are ni mpaka Waziri wa Fedha awe vizuri
 
uzuri wake ninini au kutuambia tuhamie Burundi au unafkiri tumesahau tena kwenye kipindi dak 45 ITV alisema ndo yeye aliyependekeza tozo!!!!!
 
Back
Top Bottom