Soma hii.......

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Dogo mmoja alikua anapiga story na dingi yake, mara girlfriend wake akatokea, na dingi mwenyewe mtata sana dogo akaamua kutumia akili ya kuzaliwa na maongezi na gf wake yakawa hivi:

Dogo:umekuja kuchukua kile kitabu cha Speak english my father dsnt know?

GF:Ndio, na kile cha where shud i wait for u?

Dogo:Hicho hakipo labda kile cha wait for me under the coconut tree

GF:Sawa usisahau kile cha dont be late i gv u 5minutes

Dingi kusikia hivyo kafurahi mnooo akampa dogo 10, 000 kama pocket money atakapokuwa anaenda kusoma!LOL
 
Rejao vp wewe hujui JF ina memberz wapya kila siku na wengine hatukuwa kwenye internet long time tuko maporini huko tunawinda meno ya faru!
 
Khahahaaaaaa......... kijana unavunja mbavu zangu.... teheteheteheeee........
Kwikwikwikwiiiiiiii.............. Kwakwakwaaaaaa.............
 
Back
Top Bottom