Soma halafu utoe mchango wako

Angekuja kuniomba ushauri mimi kitu cha kwanza ningemkameruni,mshenzi kweli huyo.aangrrrrr!!!
 
Kama huyo dada sio member wa Jf mshauri ajiunge nasi kwanza, ukishafanikiwa hilo mshauri ailete hiyo stori jamvini kama vile anaomba ushauri kwa wanamii. Ukishafanikiwa hilo kaa pembeni utuachie sisi tumalize kona maana inawezekana unashindwa kumpa makavu..! Pole sana mama.
 
Afunge ,afanye maombi ya nguvu na sala za toba ,aanze maisha mapya akiwa kamtanguliza Mungu katika njia zake.
 
Ndugu zangu mimi sendeka namfahamu vizuri zaidi,ni kweli ana zero form six na sidhani kama ana uwezo wa kumlipia tundu lissu tuition otherwise akafanye mtihani tena wa form six aondoe hiyo aibu yake halafu angalau auze ng'ombe 2000 kati ya 7000 alionao awasaidie watoto wake wa nje wanaoteseka hovyo kutokana na kuwatelekeza hasa watoto wake kama vile nailejileji anayesoma tumaini university,kijana wake aliyemaliza sheria chuo kikuu makumira kwa kudra za mwenyenzi mungu,naino aanayesoma lushoto diploma ya sheria.

ishu ni hii,kama ameshindwa kuwatunza watoto wake atawezaje kumlipia tundu lissu tuition ya kitu ambacho yeye mwenyewe hajui? Sendeka sio mmasai biologically,ni msomali,na baba yake anaitwa mohamed,yeye alikuwa akiitwa Ismail lakini alibadilisha jina na kuitwa christopher mara baada ya kujiunga na shule ya sekondari moringe,ndio maana hana maadili ya kimasai,ana ropoka hovyo hovyo,hebu mwangalie telele,olenangoro,lekule laizer wote ni wastaarabu isipokuwa sendeka. Mwambieni aache kiherehere

poor sendeka
 
Mwambie arudi tu kazini kwake maana kazi yake ni kama uvuvi wa samaki atawavua wengine wengi tu, aendelee na kamchezo kake. Njia ya mwongo ni fupi.
 
aliepiga simu ndo jasiri zaidi..
Tena jasiri kwa kumkaribisha 'mwenzie'
nyumbani kwake
hatari sanaa....

Tena kama angekuwa ameiona movie ya "Unfaithfully" asingethubutu kabisa na kama ameiona basi aliamua kuchukua uncalculated risk!
 
mume kaenda kusoma mkoani boarding mke anasoma day sinza anenda nakurudi..
 
Nikimwambia ajiue si ntakuwa nimemsaidia?
Hahaha! kweli wewe ni jirani mwema lol!
1.Alipoanzisha uhusiano na njemba ya Sinza alikutaka ushauri ?
2.Si ana mtoto na anafanya kazi ?
3.We si jirani tu au mna undugu ?

Kaa nae mbali huyu ni stelingi wa muvi angalia tu asikuvue soksi huku bado umevaa viatu.

OFF TOPIC : kwa ridhaa yako kabisaa umeamua kujiita Wali ???
 
Jamani kuna jirani yangu ambae twafahamiana for almost three years. Kaolewa na mume wake anasoma Mkoani, so week ends anarudi home then anaenda shule. Mkewe is working in one of the big hotels in the city. Wana katoto kamoja kavulana, nadhani STD4.

As you know kazi za hotel mara nyingine anaenda night shifts. Last week her husband came from shule then at the mid night kelele zikaanza, mume akataka kumchoma mke na kisu. I was angry at him nikidhani mume analeta tatizo. Niliposimuliwa ndo nilichoka. The story is like this.

Mke alienda kuoga then simu yake ikawa inaita, mume akaicheki akaona namba haina jina. Aliprudi akamwambia simu yako ilikuwa inaita, who was calling?Mke akacheki na kusema alikuwa dada. Mume akauliza dada yupi ambae huja save no. yake/Mke aka mbelembela bila jibu la maana. Mume akahisi something s wrong. Akachukua simu akaitafuta namba hadi akaipata,akapiga kwa namba ile ile ya wife wake na akapokea mwanaume akidai huo dada ni mkewe. Katika conversations huyo jamaa akamwambia kama unabisha njoo kwangu Sinza nikuoneshe kuwa huyo ni mke wangu (mwenye mume yuko Makongo). Jamaa akaenda hadi Sinza, ile anaingia ndani analuta picha za mkewe sebuleni kwa jamaa.

Stori zikaanza, mtu na mume mwenzie, jamaa wa sinza akasema yule dada alimwambia hajaolewa, hana mtoto ila anaishi na ndugu zake, na ana mtoto wa dadake ambae alishafariki so anamlea yeye (akimaanisha yule mtoto wake). Siku nyingi amekuwa akimuomba waishi wote, ila ye alikataa kuwa anaishi na ndugu zake na analea mtoto wa marehemu dadake. Jamaa anadai kuwa ye anailea familia ya huyo dada fully kuanzia chakula, kodi ya nyumba na mazagazaga yote.

Yule mume alishba!Karudi mida ya saa saba usiku ndo akataka kumchinja yule dada. Alilia sana yule kaka, to be honest nilimuonea huruma sana. Yule mdada kwa kweli AMENIKERA SANA! Yule mume keshaondoka na alimwambia mke asimtafute popote. Sasa bibie ananiomba ushauri, hebu nisaidieni nimshaurije?

Nikimwambia ajiue si ntauwa nimemsaidia?

Dhambi hiyo itakuotea kichwani mwako.
 
sasa ushauri upi anataka hapo? kalikoroga alinywe mwenyewe wala asikusumbue......kweli wanawake wengine ni balaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom