princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
Nisaidieni jamani!
hivi chura jinsi alivyo anakuwa amesimama, amekaa, au amechutama?
hivi chura jinsi alivyo anakuwa amesimama, amekaa, au amechutama?
nasubiri mkuuNakujibu sasa hivi subiri
duuh basi chura ni mkali akikaa je anakuwaje??Amesimama
duuh basi chura ni mkali akikaa je anakuwaje??
nshawah kumuona nyoka amesimama!!!si kila kiumbe hai anaweza kufanya vitu vyote ulivyouliza mfaano nyoka akiwa anapanda mti utasema amesimama kwa kuwa uelekeo wake ni juu?
Je huyu amesimama?
huyo anatambaa!! umentisha ndugu!! jinsi navyoogopa nyoka!!
Je huyu amesimama?
huyo anatambaa!! umentisha ndugu!! jinsi navyoogopa nyoka!!
Poleila ukienda toilet kuwa makini.. Teh! Teh!
never give up kaniambia eti amesimama!! ila chura kazidi pozi!! hadi haeleweki!!sina jibu aisee
looooh!!! huyu nyoka nae!! anajfanya mzungu et!!Poleila ukienda toilet kuwa makini.. Teh! Teh!
sasa kama kasimama mbona masaa yote kama kainamanever give up kaniambia eti amesimama!! ila chura kazidi pozi!! hadi haeleweki!!
hapo chacha!!!!!!!!!!sasa kama kasimama mbona masaa yote kama kainama
Nisaidieni jamani!
hivi chura jinsi alivyo anakuwa amesimama, amekaa, au amechutama?
Nisaidieni jamani!
hivi chura jinsi alivyo anakuwa amesimama, amekaa, au amechutama?
hongera umepataanakunya
Weka PICHA ya huyo chura tuone kama yupo kwenye position zipi.