wanabodi,
nimekuwa nikifikiria juu ya kuanzisha biashara ya kuuza vifaa, ku-install systems na kufanya maintenance ya solar power systems kwa muda sasa.
naomba msaada wa kimawazo na taarifa juu ya upatikanaji wa vifaa,na taratibu za kisheria za kufuata
pia kama kuna watu walio kwenye biashara hii (wakubwa) tayari wanaweza kupata mteja,pia kwa walio nje wanaweza niunganisha na source za huko pia.
karibuni kwa ushauri