JAYBLA DE JOB
Member
- Sep 26, 2014
- 20
- 2
nichekie richard mtonyole,animal science,biotechnology sua.
Richard mtonyole hayupo kwenye list ya watu wa sua
nichekie richard mtonyole,animal science,biotechnology sua.
eti nasikia kuhama program hapo sua ni mtiti mpaka uwe na marefarii na maranzmen kibao!!! eti ni kwel wadau au ndo fununu. maana nimechaguliwa hortculture hapo afu siielewi elew.
na huyu tafadhali HAMIS LUTOZI (EDUCATION)
poa mkubwa.Hakna ktu ka hcho kkbwa uwe unahamia program yenye relation na combination yako form 6