Soko la mayai ya kuku wa kienyeji

kagame

Senior Member
Dec 6, 2008
157
57
Habari wadau?
Miye ni mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kienyeji + chotara, kanga pamoja na bata mzinga, shughuli yenye takribani zaidi ya mwaka sasa, changamoto nayokabiliana nayo saizi ni upatikanaji wa soko la mayai ya kuku wa kienyeji kubaki shambani zaidi ya trays kumi kwa wiki bila kuingia sokoni.
Yeyote mwenye mahitaji au mwenye kujua wapi nitapata soko la kudumu pls naomba msaada wake, changamoto kubwa zaidi nayoiogopa ni kuongezeka kwa batch lingine la kuku watakaoanza kutaga ndani ya kipindi cha mwezi toka sasa. Kwa wenye incubator au watotoleshaji wa vifaranga wa kienyeji nadhani wanaweza kuwa ni reliable customer.
 
Uko Dsm au mkoani?

Maana kama uko Dsm na mayai ya kienyeji ya uhakika unanitia mashaka kama kweli umetafuta soko ukakosa. Demand ya mayai ya kienyeji iko vizuri hata ktk ngazi ya familia.
 
Bwana Malila,
Nipo Dsm na hii changamoto ya soko la kuuzia mayai imetokana pia na kutingwa kwangu na majukumu mengine ya kijamii ndo maana nikalazimika kutumia hili jukwaa kujitangaza, ila pia kwa ngazi ya familia kuwa kama wateja pekee imekuwa na ukinzani zaidi kwenye kubalance economic theory ya demand & supply.
 
Mimi naamini kama utatafuta migahawa hii ya level ya kati kule mjini na ukawahakikishia kuwa unaweza kupeleka mayai non stop, utapata soko, mbona wale wakulima wa Gezaulole kila siku wanavusha mayai pale Kigamboni kuleta mjini mengi tu, wao wanauza wapi? chezesha akili yako kidogo tu utapata soko la nguvu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom