Habari wadau?
Miye ni mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kienyeji + chotara, kanga pamoja na bata mzinga, shughuli yenye takribani zaidi ya mwaka sasa, changamoto nayokabiliana nayo saizi ni upatikanaji wa soko la mayai ya kuku wa kienyeji kubaki shambani zaidi ya trays kumi kwa wiki bila kuingia sokoni.
Yeyote mwenye mahitaji au mwenye kujua wapi nitapata soko la kudumu pls naomba msaada wake, changamoto kubwa zaidi nayoiogopa ni kuongezeka kwa batch lingine la kuku watakaoanza kutaga ndani ya kipindi cha mwezi toka sasa. Kwa wenye incubator au watotoleshaji wa vifaranga wa kienyeji nadhani wanaweza kuwa ni reliable customer.