Soko la dada zetu wa usiku lavamiwa.

Hii ishu tusiiangalie kwa mtizamo finyu tu wa kuona uchangudoa.Tutazame kwa mapana zaidi. Hiki ni kiashiria cha ushindani katika nyanja zote kuanzia kazi za ueledi hadi zilizokua zinaonekana kama hazihitaji ujuzi wowote. Anza na kazi za nyumbani ( housemaids/househelpers), wauza bar, wafanya kazi mahotelini ( waiters/waitresses, receptionists, guests relations staff etc), wafanyabiashara ndogondogo - wote hawa wako hatarini kupoteza market. Ukija kwa hawa sex workers kama alivyosema mleta hoja, wapo kutoka nchi jirani ambapo wako na advantage zaidi - wanaongea siyo kiingereza tu bali wengine wanaongea french, wana exposure zaidi kwa maana ya elimu zaidi na mengine including ettiquette.Akitakiwa awe company kwa mteja kwenda kwenye function au dinner/lunch anajua kijiko au umma upi unalia chakula gani na siyo kujikanyagakanyaga. Katika makundi ya machangudoa wapo wateja wanaotaka company ya mtu mwenye kuweza kujadili maswala serious na siyo tu kuishia kulala. Kwa vyovyote hawa wasichana wa kitz wasiokuwa na additional attributes watajikuta ama wanaishia kuwa na low paying clients au kutupwa nje ya soko. Kibaya zaidi hawataki kujibadilisha na kufanya shughuli nyingine. Wanajitahidi sana kujifunza kiingereza cha kuombea maji na ndio maana vimezuka vyuo uchwala vyenye kujinadi ati vinafundisha kuongea kiingereza kwa wiki 4-6! na watu wanafurika huko!
THE BOTTOMLINE - WATANZANIA TUBADILIKE... TUJIANDAE KWA USHINDANI.TUJUE HAKUNA KULALA.TABIA ZA WATU KUJALI ZAIDI KUTOKA KWENDA KUNYWA CHAI NA KULA SAA ZA KAZI VINAWA COST SANA .......Ukienda kwenye maofisi mengi ya serikali utaambiwa fulani ametoka kwenda kula, kunywa chai etc... tusubiri tuone matokeo yake.Sekta binafsi hakuna atakayevumilia upuuzi huu.
 
Hii ishu tusiiangalie kwa mtizamo finyu tu wa kuona uchangudoa.Tutazame kwa mapana zaidi. Hiki ni kiashiria cha ushindani katika nyanja zote kuanzia kazi za ueledi hadi zilizokua zinaonekana kama hazihitaji ujuzi wowote. Anza na kazi za nyumbani ( housemaids/househelpers), wauza bar, wafanya kazi mahotelini ( waiters/waitresses, receptionists, guests relations staff etc)...

Kuna nyumba nilitembelea Upanga upande mmoja anakaa muarabu na upande wa pili anakaa muhindi mahausigeli wao ni Wafilipino wanaolipwa dola 200 kwa mwezi na kila miaka miwili wanaenda kwao kwa wiki 2.Wanachapa kazi hao huwezi amini. Jioni wakirudi watoto wanawasaidia kufanya homework na kuwasomea hadithi wakati wa kulala pamoja na kazi zote zingine kufua,kupiga pasi,usafi,kupika n.k.
 
DD
Hiki haswaa ndicho ninachokisema... kuna wafilipo, wamalaysia, kuna wakenya wanaajiriwa kama waangalizi wa watoto siku hizi au housekeepers.Hata watz wenye uchache wao wanatafuta quality hawataki tena ubabaishaji....
 
Itabidi tufike mahali mahausigeli wapitie mafunzo hata ya muda mfupi,wafilipino hawa wanatoa mahitaji yao ya wiki mzima nyama kilo ngapi,mchele kilo ngapi nakutayarisha menu ya siku mbili kuzingatia balance diet pamoja na kumhudumia mama wa nyumba kwa pedicure, manicure,facial pamoja na kumtengeneza nywele hapo nyumbani.Wanahakikisha watoto wamekatwa kucha wamepiga mswaki na wakiugua dawa wanapewa kwa wakati.
 
Kuna nyumba nilitembelea Upanga upande mmoja anakaa muarabu na upande wa pili anakaa muhindi mahausigeli wao ni Wafilipino wanaolipwa dola 200 kwa mwezi na kila miaka miwili wanaenda kwao kwa wiki 2.Wanachapa kazi hao huwezi amini. Jioni wakirudi watoto wanawasaidia kufanya homework na kuwasomea hadithi wakati wa kulala pamoja na kazi zote zingine kufua,kupiga pasi,usafi,kupika n.k.

Mkuu ni kweli, hata mimi namjua mama wa kizungu ambaye alikuwa mkuu wangu wa kazi, yeye pia alikuwa na yaya wa kutoka kenya. Nilipomuuliza mbona ametafuta yaya kutoka mbalimbali hivyo akajibu huyu anajua kiingereza vizuri hivyo anaweza kucheza na mwanaye pamoja na kumfundisha kusoma, kumsimulia hadith nk.

Wabongo tuamke.
 
Hii ishu tusiiangalie kwa mtizamo finyu tu wa kuona uchangudoa.Tutazame kwa mapana zaidi. Hiki ni kiashiria cha ushindani katika nyanja zote kuanzia kazi za ueledi hadi zilizokua zinaonekana kama hazihitaji ujuzi wowote. Anza na kazi za nyumbani ( housemaids/househelpers), wauza bar, wafanya kazi mahotelini ( waiters/waitresses, receptionists, guests relations staff etc), wafanyabiashara ndogondogo - wote hawa wako hatarini kupoteza market. Ukija kwa hawa sex workers kama alivyosema mleta hoja, wapo kutoka nchi jirani ambapo wako na advantage zaidi - wanaongea siyo kiingereza tu bali wengine wanaongea french, wana exposure zaidi kwa maana ya elimu zaidi na mengine including ettiquette.Akitakiwa awe company kwa mteja kwenda kwenye function au dinner/lunch anajua kijiko au umma upi unalia chakula gani na siyo kujikanyagakanyaga. Katika makundi ya machangudoa wapo wateja wanaotaka company ya mtu mwenye kuweza kujadili maswala serious na siyo tu kuishia kulala. Kwa vyovyote hawa wasichana wa kitz wasiokuwa na additional attributes watajikuta ama wanaishia kuwa na low paying clients au kutupwa nje ya soko. Kibaya zaidi hawataki kujibadilisha na kufanya shughuli nyingine. Wanajitahidi sana kujifunza kiingereza cha kuombea maji na ndio maana vimezuka vyuo uchwala vyenye kujinadi ati vinafundisha kuongea kiingereza kwa wiki 4-6! na watu wanafurika huko!
THE BOTTOMLINE - WATANZANIA TUBADILIKE... TUJIANDAE KWA USHINDANI.TUJUE HAKUNA KULALA.TABIA ZA WATU KUJALI ZAIDI KUTOKA KWENDA KUNYWA CHAI NA KULA SAA ZA KAZI VINAWA COST SANA .......Ukienda kwenye maofisi mengi ya serikali utaambiwa fulani ametoka kwenda kula, kunywa chai etc... tusubiri tuone matokeo yake.Sekta binafsi hakuna atakayevumilia upuuzi huu.

Well summarized!! Big up, Woman of substance!!!
 
Well summarised, well said.

Tuzingatie kuwa hii kazi haipo kwenye protocal ya EAC hivyo milango imefunguliwa hata pickpockets watakuja tujitayarishe.
 
1.WomanOfSubstance uliyoyasema ni kweli lakini nisaidie kwenye bold unafanyaje kubadilika-mbona naona ni ngumu?
2.Waliosema kuna kazi ya hct wa 200US$ mbona mimi nawajua perfomers wanaowea hizo kazi na zaidi kwa pesa hiyo?
3.Nina rafiki yangu mjapan alikuja kikazi akasema nimtafutie house care taker,nikamuulizia utamlipaje akasema hiyo sio problem.
Nikamletea 3 darasa la 7, f6 na graduate wa social service na kuwa wanataka 120thou,400thou na 900Thou, akamchukua huyo graduate. Sasa jamani kama mtu hakupata nafasi ya kusoma na hilo soko ndio linakuja,pesa ya kwenda shule hana afanyeje?
Mimi nasikia wengi wanasema tubadilike lakini how-mengine sio tabia ni uwezo wa kipesa jamani.
4.Kama mengine tunayosikia ni kweli kuwa kuna wachina huko kwao wanapewa mikopo ikisikika unakuja Africa hata kama ni kuuza nyanya ,sasa huyu ndugu zetu watashindana nae wapi?:angry:
 
@ Katabazi,
Kubadilika ni mchakato - kwa kifupi. Huwezi kuamka siku moja na kubadilika.Utaanza na kutambua hali ilivyo kuwa its no longer business as usual, ujue unahitaji kujipanga upya. Utajiwekea mikakati kwa kujaribu kutafuta habari/taarifa zaidi.Nitalinganisha na kutengeneza Strategic plan - lazima ufanye SWOT analysis ujue uko kwenye mazingira gani - wapi uko imara, wapi uko hafifu, wapi kuna threats na wapi una fursa.....
Nitakupa mfano -
Strength - Sijui hasa ya jumla - naweza kujitathmini mimi binafsi au vikundi ( organisations, instutitions etc but not as a people or citizens.
Weaknesses kubwa za Watanzania wengi ni longolongo, uvivu both wa kufikiri na kutenda ( it explains kutoka kwenda kunywa chai kila saa!), kukosa uaminifu hata wa mambo madogomadogo,
Opportunities - nadhani tunaweza kuzijadili tuna rasilimali nyingi, tunazo fursa za kufanya mambo mbalimbali hata kujiendeleza kielimi ili tuwe katika hali ya kuuzika
Threats - utandawazi unawaleta washindani karibu zaidi na sisi wakati hatujajiandaa kikamilifu....
Nadhani kwa kujitambua huku tunaweza kujipanga vingine kupambana na changamoto.Believe u me it works lakini inahitaji kujitoa na kukubali maumivu.Hakuna kitu kigumu kama kukubali mabadailiko_Ofcourse hil nalo lahitaji uelewa wa mambo kwa kiasi fulani.Hutegemei mtu wa level ya chini sana kutumia njia hii, ila bado watu hawa wanahitaji uraghbishi, uhamasidhaji, n.k. Nani atawafikia na kwa vipi thats another question.
 
Dada zetu wanazidiwa kwa vile hii shughuli kwao sio kazi, kwao ni leisure au part time, kwa wenzetu ni full time job tena nchi ambazo ni legal, wanalipa mpaka kodi.
Hawa dada zetu wanaoshindwa kulitawala soko la nyumbani, ndio hao hao watawala wa soko la Arabuni, wakipanga kwenye mahoteli, na kuacha milango wazi huku wamejiachia, wateja hupita kuchagua chumba hadi chumba, huko kazi ni full time job, kama kwenye nchi za wenzetu wanaweza, hapa nyumbani wanashindwa nini?.

Tena kuna hoteli zina wahindi, wachina na warusi ndio hawana soko.

Wateja wakubwa wa hawa madada wa kigeni nao ni wageni pia ambao wanaridhika na huduma zao. Soko la dada zetu kwa wateja wa humu nyumbani liko vile vile, hebu pita barabara ya Shekilango usiku, anzia mwanzoni unapokelewa na Hongera Bar na ile bar mbele ya Ustawi, ni vibinti wa Ustawi wa Jamii, then unakuja Kona Bar, usipime, hapo kati ni vijinight clubs vya kimtindo, bars, groceries na saloon za masage mpaka kule juu Sun Sirro inafunga kazi, soko lote ni bongo bongo tuu!.
 
@ Katabazi,
Kubadilika ni mchakato - kwa kifupi. Huwezi kuamka siku moja na kubadilika.Utaanza na kutambua hali ilivyo kuwa its no longer business as usual, ujue unahitaji kujipanga upya. Utajiwekea mikakati kwa kujaribu kutafuta habari/taarifa zaidi.Nitalinganisha na kutengeneza Strategic plan - lazima ufanye SWOT analysis ujue uko kwenye mazingira gani - wapi uko imara, wapi uko hafifu, wapi kuna threats na wapi una fursa.....
Nitakupa mfano -
Strength - Sijui hasa ya jumla - naweza kujitathmini mimi binafsi au vikundi ( organisations, instutitions etc but not as a people or citizens.
Weaknesses kubwa za Watanzania wengi ni longolongo, uvivu both wa kufikiri na kutenda ( it explains kutoka kwenda kunywa chai kila saa!), kukosa uaminifu hata wa mambo madogomadogo,
Opportunities - nadhani tunaweza kuzijadili tuna rasilimali nyingi, tunazo fursa za kufanya mambo mbalimbali hata kujiendeleza kielimi ili tuwe katika hali ya kuuzika
Threats - utandawazi unawaleta washindani karibu zaidi na sisi wakati hatujajiandaa kikamilifu....
Nadhani kwa kujitambua huku tunaweza kujipanga vingine kupambana na changamoto.Believe u me it works lakini inahitaji kujitoa na kukubali maumivu.Hakuna kitu kigumu kama kukubali mabadailiko_Ofcourse hil nalo lahitaji uelewa wa mambo kwa kiasi fulani.Hutegemei mtu wa level ya chini sana kutumia njia hii, ila bado watu hawa wanahitaji uraghbishi, uhamasidhaji, n.k. Nani atawafikia na kwa vipi thats another question.
WomanOfSubstance,Hapo umesema -bthw nani atawafikia na kwa vipi na LINI?????Maana mkataba tayari mambo ni kwa mbele na Threats hata wao (watu wa level ya chini)wanaziona. bthw hii(uraghbishi) ni nini au ulitaka kuandika nini?
 
Uraghbishi ni uraghbishi tu Katabazi...ni moja ya jinsi ya uhamasishaji - ni animation kwa kiingereza which is defined as the act, process, or result of imparting life, interest, spirit, motion, or activity. The quality or condition of being alive, active, etc.
Kwamba nani atawafikia.... ngoja nianzisha thread serious on this one maana huku nako kwenye utani hatutapata mawazo mazuri zaidi. Fuata thread kwenye hoja mchanganyiko.
 
Dada zetu wanazidiwa kwa vile hii shughuli kwao sio kazi, kwao ni leisure au part time, kwa wenzetu ni full time job tena nchi ambazo ni legal, wanalipa mpaka kodi.
Hawa dada zetu wanaoshindwa kulitawala soko la nyumbani, ndio hao hao watawala wa soko la Arabuni, wakipanga kwenye mahoteli, na kuacha milango wazi huku wamejiachia, wateja hupita kuchagua chumba hadi chumba, huko kazi ni full time job, kama kwenye nchi za wenzetu wanaweza, hapa nyumbani wanashindwa nini?.

Tena kuna hoteli zina wahindi, wachina na warusi ndio hawana soko.

Mkuu nafikiri tunachohitaji ni kuachana na hii biashara! Je umeangalia hasara na hatari zake? Isiwe kazi legal. Ikiwezekana ife kabisa wadada wafikirie kitu kingine cha kujiingizia kipato. Acha wazidiwe mpaka wabuni shughuli nyingine mbadala.
 
Bei zinategemea sehemu ulipo Buguruni/Temeke/Sinza/magomeni/Kinondoni-mara moja elfu 5-10,usiku mzima 20-30.Masai/Bils/Q-bar/Las vegas mara moja 15-20,usiku mzima 30-50.Hoteli kubwa Sea cliff/Movenpick/kempinski- mara moja 30-50 usiku mzima 70-100.Muonekano wako na kama mumekunywa na kula nae pia zinaweza kukupunguzia bei.Bei hizi ni kwa wa Afrika Mashariki ukihitaji wachina/warusi(ambao ndio wengi sokoni kwa muda huu)kutoka nje bei inakuwa juu kidogo lakini pia inategemea ushawishi wako.

Duh we ni kiboko, ila safi sana kuna watu hawatembelei sehemu hizi kumbe wake zao wanaenda shift za usiku sehemu hizo. mzee umelala tu nyumbani ukijifanya una maadili. Ni vizuri kutembelea japo ku observe tu na kuburudisha macho inatosha alafu unarudi kwa mkeo nyumbani
 
Back
Top Bottom