So glad to know that...

HAPPY BIRTHDAY Mphamvu

Ila ajabu ni kwamba katika watu woote waliopost umempigia like CUTE tu!! lol .........Au ni harakati adoado
 
Last edited by a moderator:
Kesho ni siku yangu ya kuzaliwa.
Even much amazing ni kuwa nimezaliwa siku moja na CUTE!
Saint fulani ningependa kukushirikisha furaha hii ndugu yangu...
Happy birthday Mphamvu!

Pole sana una bahati sana umezaliwa siku moja na wife wangu basi njoo upate ofa ya moja moto moja baridi manake una bahati sana
 
Last edited by a moderator:
Ungejua Mphamvu ni simba mwenda pole usingesema..........Ndiyo hivyo tena mkuu dogo toka Sauzi anakula dogodogo

Afu angejua watoto wa kike wanachizika na vitu kidogo tu, uzuri harakati zangu ni za wazi kama M4C.
Hata huyu jamaa analifahamu kama mimi namfukuzia huyu mtu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom